Far Lyrics
Far Lyrics by COUNTRY WIZZY
Switch!
Country Wizzy na tembo
Once again ehehe
(Ammy)
Nishawahi kupenda lakini wewe ni too much
Nahisi unachelewa mama I'm coming back
Anayajua mapenzi kasema mapenzi ndo yeye
Anajua kuicheza mitego anajileta mwenyewe
Can you believe me baby (Babe)
Mwenzako nataka mapenzi
Mwenzako jua sijiwezi
Believe I'm in love with you yeah
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
[Harmonize]
Aninipeleka far, far far far
Anatetemeka kama ana kifafa
Anataka nimfae fa fa fa
Kalala kifo cha mende mtoto kama kafa
Ata kucheat siwezi amenikwama sumaku
Tena tunapiga na mapicha picha
Kesho kwenye page za udaku
Snapchat,tiktok
Tunakomesha tu wanoknok
Kitu iko safii soap soap
Basi anavoilamba kama lollipop
Nikikosea ntakuplease girl
Yes beluieve me girl
Mgari kama roli umezimika
Utamu wake taa inapozimika what me say
Brr bang bang bang
Namkalia kwa chini nimkolezee
You got da ting mama nko nikomelee
You got da ting mama nisogee ayiii
Can you believe me baby (Babe)
Mwenzako nataka mapenzi
Mwenzako jua sijiwezi
Believe I'm in love with you yeah
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
Ananipeleka peleka far far far
Ananipeleka peleka far
I'm glad I met you ammy
This beat is crazy man yiii
Kondegang for everybody yeeh
You cant bieleve it aaah (Hahaha)
Yule boy Gaddafi and I'm too real
Safii
Watch Video
About Far
More lyrics from The Father (EP) album
More COUNTRY WIZZY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl