DAZLAH Wana Wivu cover image

Wana Wivu Lyrics

Wana Wivu Lyrics by DAZLAH


DAZLAH WANA WIVU

She is so sexy kila mtu anajua
Hamumuwezi hata kwa dawa mnajua
Ananipa dawa kila saa, inawauma sana
Inawachoma jamani

Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu

She is the only one
My only one
She is the only one
My only one(I love you)

She is the only one
My only one
She is the only one
My only one(I love you)

Wenye roho mbaya
Wale wa kuchonga ngenga
Ooh wabaya 
Yenu yamewashinda

Hata kwa dawa
Na muroge hata kwa dumba
Kwa Mungu tumeomba
Msingi wetu hamwezi uvunja 

Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu
Wana wivu wao wana wivu

She is the only one
My only one
She is the only one
My only one(I love you)

She is the only one
My only one
She is the only one
My only one(I love you)

Ooh beiby I love you
I love you yeah
Hata 001 anajua I love you
Hata na mama nyumbani anajua 
Nakupenda wewe

Wowowo lalalala
Wowowo I love you
Wowowo mamamamama
Wowowo I love you

Yeyeyeye, wowowowo
Yeyeyeye I love you
Wowowo oooh beiby I love you
I love you, love you yeah

Hata 001 anajua I love you
Hata na mama nyumbani anajua 
Nakupenda wewe

Watch Video

About Wana Wivu

Album : Wana Wivu (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 28 , 2020

More DAZLAH Lyrics

DAZLAH
DAZLAH

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl