Utam Lyrics
Utam Lyrics by DAZLAH
Yeah, lalalala
Oooh Oooh
Aaah aaah
Mmmh...
Oooh habiti, Yarukhi nakutamani
Vuta kiti, nikaribishe nyumbani
Nivue na shati, nahisi joto mwilini
Nikubusu wapi, raha tele moyoni
Na maji uniwekee
Bafuni si twendee
Mgongoni unisugue
Tena unioshe kabisa
Chakula nipe nishibe
Matunda tunda niwekee
Maziwa na tembe
Nipate nguvu kabisa
Na unigande na upendo yeii ye aah
Upendo, nikikosa usiniseme
Nitaweka no ninongoneze
Tuwachape na fimbo yeii ye aah
Fimbo, ya mapenzi wacheze mbali
Penzi letu lizidi noga
Mama nipe utamu mie lalalala
Nipe utamu nijirambe lalalala
Nimenogewa na wako utamu mie lalalala
Nipe utamu nijirambe lalalala
Mwenzio kusema kweli nakupenda
Uning'ang'anie, usije niache solemba
Nipe bila ya kusita, we ndo wa kweli sinyorita
Nipe nitulie, mahaba kwenye sita kwa sita
Na unigande na upendo yeii ye aah
Upendo, nikikosa usiniseme
Nitaweka no ninongoneze
Tuwachape na fimbo yeii ye aah
Fimbo, ya mapenzi wacheze mbali
Penzi letu lizidi noga
Mama nipe utamu mie lalalala
Nipe utamu nijirambe lalalala
Nimenogewa na wako utamu mie lalalala
Nipe utamu nijirambe lalalala
Nipe, nipe, nipe, nipe, nipe nilale
Nipe(nilishe macho, macho)
Nipe(mazuri mimi sichoki)
Nipe(oooh nipe nitulie)
Mama nipe utamu mie lalalala
Mama nipee lalalala
Oooh nipe nitatulia lalalala
Nipe nipe,lalalala
Sijali wakiongea
lalalala, lalalala
Watch Video
About Utam
More DAZLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl