Zigi Zaga Lyrics
Zigi Zaga Lyrics by DAZLAH
Jua Cali, 001
Dazlah
Za zigizigi zaga
Msichana unaniwekea free ka unanimaliza
Mtaani kila siku unaleta shida
Ngozi laini rangi imeshika
Macho nazo zinanichizisha
Nikikuona damu inachemka
Nisipokuona pia inachemka
Usicheze mbali we ni wangu
Mtoto wa geti kali karibu kwangu
Mwili yako naipenda hivyo
Nywele zako nazipenda hivyo
Mapua kubwa naipenda hivyo
Haga pia naipenda hivyo
Mambo ya kizungu wacha kabisa
Usijaribu kubleach utatisha
Niko na wewe bumper to bumber
Ukiniacha kichwa yangu itaenda
Zigi zigi zaga
You are my African woman
Za zigi zigi zaga
You are my African woman
Za zigi zigi zaga
Am in love sitorudi nyuma
Za zigi zigi zaga
Am in love kwako nimekwama
Za zigi zigi zaga
Baby go gaga
Nishike tena kidogo na swagga
Baby go gaga
Nipe kwa mpigo vile naitaka
(zungusha zungusha zungusha)
Kila siku kwetu holiday
Toka monday to monday
Unataka peremende
Nitakupa na tembe
Napenda hiyo style yako(tamu)
Na uzuri wako
Ndani uko moto moto(tamu)
Unanijaza joto
Shuka chini chini me napenda
Ooooh me napenda(hivyo)
Lemmi lemmi be your defender
Za zigi zigi zaga
Make me your defender
Zigi zigi zaga
Make me your defender
Zigi zigi zaga
You are my African woman
Za zigi zigi zaga
You are my African woman
Za zigi zigi zaga
Am in love sitorudi nyuma
Za zigi zigi zaga
Am in love kwako nimekwama
Za zigi zigi zaga
Ooh yeah yeah yeah yeah
Ooh yeah yeah yeah yeah
Ooh yeah yeah yeah yeah(kila mtu)
Za zigi zigi zaga
Ooh yeah yeah yeah yeah
Ooh yeah yeah yeah yeah
Ooh yeah yeah yeah yeah(kila mtu)
Za zigi zigi zaga
Za zigi zigi zaga
Za zigi zigi zaga
Za zigi zigi zaga
Za zigi zigi zaga
Watch Video
About Zigi Zaga
More DAZLAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl