Jana Ulichoma Lyrics
Jana Ulichoma Lyrics by BV ACCURATE
Hii mambo kuchoma picha si fiti
Bwana
Bwana asifiwe
Maisha lazma kasonge
Maisha lazma kasonge jo
Maisha lazma iende
Maisha lazma iendeleee
But Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma joo
Maze Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma bro
Potato! potato!nipicha ulichoma si vako
Nipicha ulichoma si vako
Ktusumbua usiku nzima night ikabako
Hadi ukacha dem wako
What foreal ???
Yess foreal!!
Kwa unathani hii ni jokes nani
Ulipanda meza ukapiga waiter
Ikaleta zogo had pale kwa center
Maisha lazma kasonge
Maisha lazma kasonge jooo
Maisha lazma iende
Maisha lazma iendeleee
But maze Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma joooo
Maze Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma bro
Me sikati tei tena
Nacheza chini hadi ile solo ntasema
Nashoiwa nilichoma, hata siezi remember,
na wapi simu yangu??me Nadai kucall Brenda
Simu yako??
Ehh simu yangu
Boss simu ulitupa nje ya gari ikisonga
Maze zako jana ziligonga itabidi umereplace line
Kama tume songaaaa!
Maisha lazma kasonge
Maisha lazma kasonge joo
Maisha lazma iende
Maisha lazma iendeleee
But Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma joo
Maze Jana ulichoma
Maze Jana ulichoma bro
Watch Video
About Jana Ulichoma
More BV ACCURATE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl