Taji Lyrics by ADOLPH CLARK


Iiieeeh ieeeh
Iiiieeeh ieeeeh
Ieeeeh ieeeh oh
Ooooh uuuhoo

Na vita vitakapo kwisha
Tutavikwa Taji
Tutavikwa Taji
Taji ya ushindi
Na vita vitakapo kwisha
Tutavikwa Taji
Tutavikwa Taji
Taji ya ushindi na vita aaah
Na vita vitakapo kwisha
Tutavikwa Taji
Tutavikwa Taji
Taji ya ushindi

Taji lime andaliwa kwa wale wote
Watakao shinda dhiki za dunia
Taji lime andaliwa kwa wale wote
Watakao shinda dhiki za dunia
Bwana atatwaa kitambaa
Na kutupanguza sisi machozi
Bwana atatwaa kitambaa
Na kutupanguza sisi machozi
Taji letu litaangaa sana ah
Tutakapo fika kule mbinguni ih
Taji letu litaangaa sana
Tutakapo fika kule kwa baba

Na vita aaaah eeeh iiieh
Na vita vitakapo kwisha ( ooooh Tutavikwa Taji )
Tutavikwa Taji ( pamoja na baba ah )
Tutavikwa Taji ( yeeiieee oooohuoo )
Taji ya ushindi ( ushindi na vita aaaha )
Na vita vitakapo kwisha (kapo kwisha aah )
Tutavikwa Taji (pamoja na babaaa )
Tutavikwa Taji
Taji ya ushindi

Eeeeeeeh eeeh Abari za Mateso ooh
Masumbuko ooh
Abari za kulia Ni mambo ya dunia
Bwana atatoa leso kwa wale
Watakao shinda dhiki za dunia
Kisha Mateso Kisha taabu mingi
Mpendwa utavikwa Taji iiih
Kubali mkono ukatwe
Kubali jicho lako ndugu liongolewe eeh
Kubali madharau ya ulimwengu uuh
Ila kule mwisho bwana atatuvika

Taji Na vita aaaaah
Na vita vitakapo kwisha ( Tutavikwa Taji iih )
Tutavikwa Taji ( pamoja na bwana aah )
Tutavikwa Taji ( eeeeeh eeeiiihee )
Taji ya ushindi ( bwana atatuvika Taji kule yerusalem mpya a)
Na vita vitakapo kwisha Tutavikwa Taji ( Taji ya uzima Taji ya ushindi )
Tutavikwa Taji Taji ya ushindi (Aleluia Aleluia bwana wangu uuuuh yoyooo )

Oooooh Taji eeeh
Taji Taji ni tuzo la washindi Woooooh
Taji iih oooh Taji babebobo
Taji ni tuzo la washindi
We sing Taji iiiiiih
Taji Taji Taji ni tuzo la washindi ( taaaaaaaji iiih ) oooh
Taji Taji Taji Taji ni tuzo la washindi
Na wakati vita itakwisha
Tutavikwa Taji Katika yerusalema mpya
Tutavikwa Taji

Watch Video

About Taji

Album : Taji (Single)
Release Year : 2023
Added By : Adolph Clark
Published : Aug 04 , 2023

More ADOLPH CLARK Lyrics

ADOLPH CLARK
ADOLPH CLARK
ADOLPH CLARK

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl