Badilika Lyrics
Badilika Lyrics by ADOLPH CLARK
Walisema kwamba Yesu yuko
Yuko ndugu yangu (Yuko ooh eeh aah)
Wlitanganza kwamba Yesu yuko
Yuko ndugu yangu (Yuko ooh yuko ooooh)
Walishuhudiya makuu yake
Wakisema yakwamba
Yesu yuko ndugu yangu Ooh ooh
Lakini myoyo yao imenaki vile vile
Aikubadilika aah ooh
Lakini myoyo yao imebaki vile vile
Aikubadilika aaah kamwe badilika aha
Badilika aah aah
Badilika aah
Ooh oh Badilika woh oh
Badilika aah aah
Badilika aah
Aliwalisha mikate eeh
Akawalisha samaki iiih
Tena wakasema Yesu, Asulubiwe
Alijibu maitaji yenu
Akaponya watoto wenu uuh
Myoyo yenu aikubadika
Kuna siku mtaliya yoh yoh
Kuna siku mtaliya Yesu uh
Atakwambiya Mimi sikujuwi
Nilikuwa muubiri nikikutumikiya wewe Yoo yo yoh
Kuna siku mtaliya Yesu
Atakwambiya Mimi sikujuwi
Nimetenda yote kwa UWEZO wako hewe
Mungu wangu yooo yo yoh
Kuna siku mtaliya Yesu
Atakwambiya mimi sikujuwi
Ooh oh Badilika wewe
Badilika aaah Ooh oh
Badilika wewe eeh
Badilika aah ah
Badilika aaah
Ooh oh Badilika
Badilika aah ah
Badilika aaah
Watch Video
About Badilika
More ADOLPH CLARK Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl