Shilingi Lyrics
Shilingi Lyrics by MBOSSO
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Naapa kwa Bibilia
Nashika na masafu
Naapa mbingu dunia
Funika kibakuli
Funua moyo wa furaha
Sura za mafedhuli
Nyeusi fi, zimewafura
Wasome kwa Zaburi, Wagalatia
Hawashindi kudura
Hili penzi tanuri, wakivamia
Litawavula
Anikuna nazi
Mi nikamue tui
Tule wali mbaazi
Yetu mapochopocho
Sasa tuanze kazi
Usiku kwa asubuhi
Wali tumwage radhi
Mambo ya soko soko
Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Mwenge wewe, bichwa mie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Doli doli za mbwela
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Why you dey my side, nobody dey ooh
Girl you dey, nobody dey ooh
Take over my whole space
Rocking my white shirt eeh
Ooh dance yah shatte
Anything for you I shake
Sometimes your body might be too lazy
But when you call me I go visit
Mmmh ah my toto de waje
Shake your waje
Sometimes [?] might be too low
Thats why you call me I go still show
My love faboulous
You go pay me a tonne(tonne)
Cause I love you(Love you)
And I want to give you all my love
Still I have you
J'lo, tell me you love me
Tell me you love me(love me)
Ooooh ooh...
Penzi sarafu lina pande mbili
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Mwenge wewe, bichwa mie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Kidole juu tuwaringishie
Shilingi ya ng'ara ng'ara
Doli doli za mbwela
Asa beiby komesha(Jishembe, jishembendue)
Jishe(Jishembe, jishembendue)
Jishaue beiby(Jishembe, jishembendue, jishe)
Wajue mashauzi umezaliwa nazo
(Jishembe, jishembendue)
Deka deka(Jishembe, jishembendue)
Komesha vinyunguruta(Jishembe, jishembendue, jishe)
Waambie sisi gari la petoroli
Wasije iba mafuta
Ayolizer
(Abbah)
Watch Video
About Shilingi
More MBOSSO Lyrics
Comments ( 1 )
Congratulation to mboso more audible and understandable
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl