Inabana Lyrics by EDDY KENZO


Baby I wanna feel your vibe tonight
I know you gonna feel my vibe tonight
Kwanza kako simple simple, hakanaga makuu
Kana vidimple dimple, huko nyuma kichuguu

Aki kako simple simple, hakanaga makuu
Kana vidimple dimple, huko nyuma kichuguu

Hiyo nguo kama naiona, naiona
Kwa taabu inavyoingia
Fundi kakosea kushona, kushona
Hatra kichwa hakiwezi ingia

Inabana!(Nah nah nah)
Sema tena inabana(Nah nah)
Inabana!(Nah nah nah)
Wote inabana(Nah nah)

Inabana!

---
---

Inabana tight nyoo
Baby na style yo kwafu nyoo
Girl I wanna punch you 
I got your love ooh
Knock knock knock knock down
Put your body on me go down low
Let me say eeh, let me say

--
--

Kiswahili, Chiganda nalo
Eddy Kenzo, Harmonize

Inabana!(Nah nah nah)
Sema tena inabana(Nah nah)
Inabana!(Nah nah nah)
Wote inabana(Nah nah)

Inabana!

---
---

Konde Boy
Only you beiby I no go cheat
Sinaga muda na maside chic
Nitakupa vitam tena zaidi ya pipi
Wanaulizana nimekupata vipi?
Aaah

Watch Video

About Inabana

Album : Inabana (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Konde Gang
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 28 , 2019

More EDDY KENZO Lyrics

EDDY KENZO
EDDY KENZO
EDDY KENZO
EDDY KENZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl