Cha Kutumaini Sina Lyrics
Cha Kutumaini Sina Lyrics by MARTHA MWAIPAJA
Cha kutumaini sina ila
Roho yako bwana
Sina wema wa kutosha
Dhambi zangu kuziosha
Cha kutumaini sina ila
Roho yako bwana
Sina wema wa kutosha
Dhambi zangu kuziosha
Kwa baba nanyenyeke, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Sitarudishwa nyuma na chochote, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Anapigana kwa ajili yangu, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Mtetezi anaishi milele milele, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu
Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga

Kwa baba yangu nasimama, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Mwenzenu nikilia ninanyamazishwa, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Anateta na adui zangu wote, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Anaandaa meza mbele ya watesi wangu, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani
Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele zake

Kwa baba nanyenyekea aah, mwamba ni sala
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Mwenzenu sina mashaka nimesimamishwa, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Sijajaza mashaka ndani yangu nina nguvu, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Ananichunga popote niendapo niwe salama, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Amenificha kwenye mwamba adui hataniona, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Asante mwamba imara
Mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama
Sitaogopa chochote niko kwenye mwamba, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Kitu gani mwenzenu kinitoe kwake, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Ananikinga na kila hila za adui, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Ameyanyoosha mapito yangu napita salama, mwamba ni salama
Ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama
Amenilaza kwenye kifua chake cha upendo
Ni mwamba salama kwangu salama
Nimuache niende kwa nani, kwa nani mwenzenu ooh
Yeye ni mwamba ni mwamba, ni mwamba....
Watch Video
About Cha Kutumaini Sina
More MARTHA MWAIPAJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl