Alamba Lyrics
Alamba Lyrics by GIGY MONEY
Nitatangaza ndoa
nakuoa wakawa ...
yuko pretty, kuanzia mpaka chini Juu
Juu twaja piga jeki
Mashallah
she is so sexy,
kitandani Chenga Nyingi
na shooti is Messi, aje raha
mmmmh
mwenzenu napendeza naye
nachotaka napewa naye
sasa vipi nimkatae, siwezi
eeeh
na watoto nizae naye
kanijaza wacha nijae
kidogo nagawana naye
huko nyuma lugha Bima
katuna, kashona
nikamwaga mavumbaa (aah eeh)
moja moja kama rimba,
nusu na kukuna
yaani movie Govindaaa
Kama kidole kwa hatari
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Akinipa mmoja chali
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Tamko zaidi futari
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Keni mwanzo mi silali
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Utam kolea, kolea, kolea, kolea
Utam kolea, kolea, kolea, kolea
Ka mapenzi kudekezwa mi na mzidi na Mbosso
Penzi lako kama maji nikilikosa ni kifo
Yaani we unanipenda najionaga mtoto
Penzi unalonipa kama Gigy wa Money mwisho
K-kila nikimwonaga,
Kamoyo kanadunda dunda
Mashoga zangu wakiongeaga
Natamani kuwakunja kunja
Wanasema vipi? mi naona madondora
Gigi kiki? mi naona zinaboa
Maisha ni muziki, hauzuiagi nda
Wala sichomoki, kaja sema ananioa
Beiby nitazame, nichecheme
Kama China mi, nijipe me
Nechecheme nechecheme ...
Nitembelee wapi ..
Kama kidola kwa hatari
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Akinipa moja chali
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Tamko zaidi futari
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Keni mwanzo mi silali
Alamba lamba ah lamba, alamba alamba
Utam kolea, kolea, kolea, kolea
utam kolea, kolea, kolea, kolea
Watch Video
About Alamba
More GIGY MONEY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl