LOMODO Where Are You cover image

Where Are You Lyrics

Where Are You Lyrics by LOMODO


When I wake up in the morning i’m thinking about you ouuh
Where are you my baby
I’m die for you
I go around everywhere to know where are you
I’m gonna go crazy baby I love you
Nishazunguka kwa machinga kariakoo ooh
Nahangaika hangaika aah
Natoka tegeta hadi mbagala kwa ngoko
Kichwa nachekecha chekecha aah
Nikianza kukufikiria aah
Mwenzako silage kabisa aah
Ni pengo kubwa umeniachia aah
Usiku silali ii nakesha aah
Umelipachika gogo oh
Motoni lateketea ah
Umeme ukikatika ah
Ndani joto ooh
Sina wakunipepea
I’m nothing without you
Baby I need you uuh
Where are you, where are you
Baby I love you ouh

Naishi kama kinda la ndege alofiwa ah
Mtoto alokosa mama aah
Nawaza nani huyo alotunukiwa ah
Kukupata wewe kimwana ah
Unanichanganya kabisa sielewi iih
Ooh oooh sielewi
Naona mapicha kwako nishafeli
Ooh oooh nishafeli
Na kama unanisikia aah
Naomba urudi
Na kama nilikukosea aah
Msamaha inabudi eeh
Binadamu sio kamilifu nitakosea aah
Unisamehe tuweke sawa aah
Nipe tamu nikupe tamu
Zote zimepotea aah
Nikianza kukufikiria aah
Mwenzako silage kabisa ah
Ni pendo kubwo umeniachia ah
Usiku silali nakesha aah
Umelipachika aah gogo
Motoni lateketea
Umeme ukikatika ndani joto ooh
Sina wakunipepea

I’m nothing without you
Baby I need you uuh
Where are you, where are you
Baby I love you ouh

Watch Video

About Where Are You

Album : Where Are You (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Mar 05 , 2021

More LOMODO Lyrics

LOMODO
LOMODO
LOMODO
LOMODO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl