KING KAKA KING KAKA, POISON cover image

KING KAKA, POISON Lyrics

KING KAKA, POISON Lyrics by KING KAKAKing Kaka..Title zao  si official ni kaa wako come we stay
Wanangoja ni pass the torch Buda mi sichezi Relay
Nani mwingine uleta groove kaa si mimi na Kev Mulei
Nilichukua few breaks nishukuru wadhamini
Still na keep it fly kaa carpet ya Alladini  
Na wasanii wanashangaa Kwani Kaka wala nini
Breako two carrots, rosary 24 carats
Na watoi wangu ni mapunk so
Niko na two parrots  
Vile nawork bana nafaa kuwakilishwa na C.O.T.U
Kaka nadrop bars na siongelei Choku
Mr. Munene wallet Kilo Kaa fourty
Bado mushene kaa wamama wa Ploti
Verse naipa justice ata tulirecord kwa Korti
Wanajishondea wakidhani nilikam kushuta

Buda, Mi ushika lightning kwa Chupa
Nina power kaa Ghost na narun Empire kaa Lucious
Tangu E-sir aishie wananiogopa kaa Lucas
Inabidi wasanii watoke closet kaa Rufus
35hours ten Days A Week Kiaje  
Ndege to Kisumu  na ata sijui nilifika aje
Hostess ananiamsha zile za na Simu usiache
Overprotective ni kaa rap ni Mtasis
Na ntaileta mahali wako ni Kama room service
Bado nina misemo kama mudguard ya Lorry

Na hatutawai fanana kama Patipati za lodging
Leta dishi mezani tushaanawa kaa Pilato
Ile entourage ninayo utadhani ni Yesu na Disciples
Ata Yuda Yuko hapa and he’s ready to kiss you  
Nikikaa back left kwa Jaguar najiona kwa Kioo tu
Top 3 na mi si 3 Au 2
Fungiwa keja Leo
Mabeshte wangapi watakuhost  
Wapige picha na wewe ndio ukidie watakupost
Ni Mr Dudu Baya mbaya tangu Gugu Gaga
Sio Lazima tuonane kaa Padri na Kafir
Utaita Soja mi utembea na Swabir
Na nikianza walisema Kaka Ana ujinga  
Saa hii ni Mr CEO Wanasema Niko na uJigga  
Kristoff Leta Verse Kaka atadandia

Niko na cash cow na inanitoleanga maziwa  
Saa zile wanaargue nani hafai kuwa King  
Niko na delegates real talks na tubitings
Top Floor Burj Khalifa Dubai tings
Saa hii wanashangaa Kwani Rabbit anatema sumu  
Buda hauwezi walk a mile in my njumu  
Na delivery Kama room za Pumu
Na pay hommage wee bado nursa mi college
Flow wataTea Yao bado porridge  
Na when I win inawanyonga kaa tie  

Still I’m happy kama verse ya Kantai  
Daily transactions bank wananirank  
Ata juzi wameniweka Employee of the Month  
Kwa maconference ni maCoat na mastage nimesag  
Tuseme tu ukweli wasee wasee
Na pia lets call a spade a spade
Shape ya madame nadishi bado ni eight figures
Mafala wako wapi Wakule ma middle fingers

Legendary vako ya Madiba  
Wakithrow shade uanga nazivaa  
Leteni beef basi nashindanga na njiva  
Bars is hard mdomo constipated
Mi ndio agenda I Hope the point is taken  
Siko kwa hizo music channels find me kwa business news  
Nyi bado mnaargue nani ako na million views?
Inzi imekubali kudie Kwa kidonda  

Sibuy hiyo story ata nikiwa aje donga  
Nimewapeatime wajiredeem kaa bonga
Ni album tu inacause catastrophe  
King Kaka Niko juu kama apostrophe
Kuna time niliwaomba doh ya food
Wakanitoka hiyo si ndio ughost
Saa hii nimepata doh ya breako
Wanataka tugawe hiyo si ndio utoast
Staki madie hard fans wangu wadie walai  
Natoanga jokers kwa decks sichezangi hivo kadi
Siguzangi hiyo bangi
Siguzangi hiyo booze
Dame yako alikuwa anakazwa
I guess hiyo alikuwa mloose  
Come find me.. I’m in your area  
Na naikeep it conscious
Kama brother Darius

 

Watch Video

About KING KAKA, POISON

Album : Eastlando Royalty (Album)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Dec 13 , 2018

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl