Stingo Lyrics
Stingo Lyrics by EXRAY
Mmmmh taniua!
(Ni Mali safi on the beat)
Niko ngwati za mia khalifa
Ju huyu dem ameshinda kabisa
Anataka hadi kwa Nissan
Akipupu ati ndani ya kanisa
Anataka mastingo (Ooooh)
Stingo stingo stingo
Akibend ni mastingo (Uuuh ooh)
Stingo stingo stingo
Mi mama yangu hakunizaa
Nikuje niteseke hivyo
Nikufe sababu ya mastingo
Amechoka unataka kumweka
Na Cobra style, Helicopter
(Stingo)
Twende left right
Na kwani we ni msanii unataka mic yoh
Twende hii side
Staki ya doggy nataka bite
Akinipea leo ni ma baboon
Na ati ooh ooh ah ah..
Nianze kigugumizi leo
Ati gugu gagaga...
Leo ni kamote anataka za mkamba
Anataka nimkate nakuja na panga
Dudu manyoya utawashwa na njwanga
Ka ni manyanga nakuwa makanga
Leo kuku inakulwa na kanga
Hadi outdoor anapenda veranda
Ngoma ni banger ju mchuma inakaanga
Chang'aa inafanya nateka machwara
Kwa kibanda nilibonda na kigomba
Meditation anaskiza tu madoba
Mboka so kakitaka ndizi nampea magomba
Donga nifanye kigwegwe ka Omari nitagamble
Royal, bibi harusi leo niko rumble
Leo niko ngwati za Mia Khalifa
Ju huyu dem ameshinda kabisa
Anataka hadi kwa Nissan
Akipupu ati ndani ya kanisa
Anataka mastingo (Ooooh)
Stingo stingo stingo
Akibend ni mastingo (Uuuh ooh)
Stingo stingo stingo
Mi mama yangu hakunizaa
Nikuje niteseke hivyo
Nikufe sababu ya mastingo
Amechoka unataka kumweka
Na Cobra style, Helicopter
(Stingo)
Baby ebu come show dem
Shock dem, bang dem
Leo ni kutwerk za galdem
Warn dem, kill dem
Si anataka helicopter
Wacha nianze na chopper oka inda
Sitaki za ocha wacha ujinga
Ukianza nitafocus uache kuringa
Smile and pause unichangie mastylo
Angle ya dhambi kwani we ni shaito
Ah ki Sho Madjozi namfanyia makwaito
Attention madam
Njoti zikiisha nachana na gum
Ukiacha umbleina napita na gun
Na ka we ni wa street mi nakuja na gang
Ka we ni wa tire nafika naburn
Vutia virgin mi nakuja hapa I swear dat
Nikichapa sana you can pass toward dat
Ka we ni wa joto wakisha ki fan
Sihitaji mafan ndo nizime kubang
Leo niko ngwati za Mia Khalifa
Ju huyu dem ameshinda kabisa
Anataka hadi kwa Nissan
Akipupu ati ndani ya kanisa
Anataka mastingo (Ooooh)
Stingo stingo stingo
Akibend ni mastingo (Uuuh ooh)
Stingo stingo stingo
Mi mama yangu hakunizaa
Nikuje niteseke hivyo
Nikufe sababu ya mastingo
Amechoka unataka kumweka
Na Cobra style, Helicopter
(Stingo)
(Ni Mali safi on the beat)
Watch Video
About Stingo
More EXRAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl