Usitume Fare Lyrics by STAMMINAH GUSTO


Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia


Kutoka saa tano nimekungoja
Walai dryspell imenigonga
Niko kejani na sitatoka
Niko sure kwanza leo ni sleepover

Oooh beiby umefika wapi?
Utafika saa ngapi?
Umepanda gari gani?
boxer imenishika nafeel tu vifunny

Aki umekawia(niko kwa mat)
Yaani tangu saa sita(niko kwa jam)
Kwani unapanda mlima(chill ninakam)
(Kwani umenipangia aje?)
Aki bae, kam ucheki vile nimepanga

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Ala! Kwani kunaendaje babe
Napiga simu yako haushiki my babe
Ala! Mbona umebadilika babe
Mood yako imechange, nakushuku my lady

Navile leo nimekutengezea dishi noma
Kwa bed nimetandika ile duvet noma
(Hallo aki imagine sioni nikimake)
(Mum amenishow ati me ndio napika sapa)

Woi woi woi, bet imechomeka
Man down, nakufa na pressure
Aaah, can't take it no more
Fare imeenda, I can't take it no more

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Na ningejua singetuma hiyo fare yangu
Ka supu na mutura ningekula over there
Na ningejua singetuma hiyo fare yangu
Ka supu na mutura ningekula over there

Saa vipi saa zingine nyi madem hutukosea
Haujui vile nilipata hizo doh aki ya nani
(Aii, mia mbili tu ndo inafanya ushinde ukilia ka mtoto)
SAWA TU!

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Boy child usitume fare
Akuje na yake utamrudishia

 


About Usitume Fare

Album : Usitume Fare (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 21 , 2019

More STAMMINAH GUSTO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet

See alsoYou May also LikeGet Afrika Lyrics Mobile App

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2021, We Tell Africa Group Sarl