Bundah Lyrics
Bundah Lyrics by KING KAKA
Nani ana pesa zangu anilipe ASAP
Leo ni Friday lazima kutesa
Remy kweny ice sitaki kapresha
Si tunavibe eh, two times five
Walenje na makilo
Leo nakuchota
Eastlando kuna shida ya maji
Leo nakuchota
Ati kerea, ati kerea
Ati kerea nyama wekelea
Dancefloor lit eeeh hadi teketea
Suti designer hebu icheki --
Enjoy ngoma message iko kwa email
Meza yangu ni mimi pekee na ma female
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Haujaskia lugha bado ni currency
Na ninabonga pesa sana currently
Mbogi ni wawesh yaani wajanja
Niko na waresh yaani mabanja
Zimewashika yoh yaani maganja
Haunipendi guess ni personal issue
Na nabonga mbaya
Unahitaji personal tissue
Milan waru ni expe nitoke my people
Tupitie Sanford vile nakuchipo
You now rocking Mr CEO
Tangu nipate si Kaka amechage?
My friend ata pesa yenyewe imechange
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long'i inadunda
Watch Video
About Bundah
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl