Bonge la Toto Lyrics

KAYUMBA Tanzanie | Bongo Flava,

Bonge la Toto Lyrics


Bonge la toto
Bonge bonge la toto
Bonge la toto
Bonge bonge la toto

Ndo yeye 
Mwenye kisima changu cha furaha hapa Dar
Ndo yeye 
Aliyekubalika kwa baba na mama

Ndo yeye 
Ma star wamfukuzia
Atoke mdomoni
Watamani nichukulia

Mwenye kishingo ka ngamia
Uno dondora huku nyuma kafurahia
Ila ananisisitizia, nisije kumuumiza
Nami huwa nazingatia
Huku mia mbili zangu nazituliza

Ndo yeye nampenda sana
Atoke mdomoni
Kanibariki Maulana

Ndo yeye 
Nampenda sana
Atoke mdomoni
Kanibariki Maulana

Bonge la toto, wa Bongo wanamjua
Bonge bonge la toto, kistaa anasumbua
Bonge bonge la toto, Pika kupakua
Bonge bonge la toto, kitaa wanamjua

Bonge la toto, wa Bongo wanamjua
Bonge bonge la toto, kistaa anasumbua
Bonge bonge la toto, Pika kupakua
Bonge bonge la toto, kitaa wanamjua

Akilia nataka nimbembeleze, nimliwaze 
Asema ye bila mi hapumui hakohoi
Jamani kupendwa raha, napendwa ah ah
Mwenzenu naona raha, kupendwa raha

Mimi na yeye ni dam dam
Tushachanganya damu
Ananifanya ni kam kam
Kwa mambo matamu

Ndo yeye nampenda sana
Ndo yeye kanibariki Maulana
Ndo yeye nampenda sana
Ndo yeye kanibariki Maulana

Bonge la toto, wa Bongo wanamjua
Bonge bonge la toto, kistaa anasumbua
Bonge bonge la toto, Pika kupakua
Bonge bonge la toto, kitaa wanamjua

Bonge la toto, wa Bongo wanamjua
Bonge bonge la toto, kistaa anasumbua
Bonge bonge la toto, Pika kupakua
Bonge bonge la toto, kitaa wanamjua

Wanamjua aah yee, wanamjua aah yee
Wanamjua, bonge la toto

Leave a Comment