Paroles de Love On Fire
Paroles de Love On Fire Par WALTER CHILAMBO
Aaiiyaa iiyaah
Aaiiyaayah aaiiiyyaahh
Hivi nakupendaje?
Hata mwenyewe sijielewi
Ninakupendaje? (Namna hii Bwana )
Hivi umenipokeaje?
Maana nasikia raha sana
Umenipokeaje? (Namna hii Bwana)
I deserve Nothing (Nothing)
Lord you give me everything
You never disappoint me ( Aah aah)
Oh Lord in any way
Yaani hata mi nikianguka...... (Bado)
Mkono wangu unanishika .....(Bado)
Kwenye mitego ya Muovu Bwana ...(Bado)
Baba yangu unanivusha .....(Bado)
Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire)
Tarararira raraaaaa (What did I do ..did I do)
Tarararira raraaaaa (Nistahili upendo wako weee)
Nami nitatii
Amri zako Daddy
Nifanye Safi
Mwili na Roho Daddy
Usiniache kabisa (Usiniache kabisa)
Maana kwa wengine mi ni takataka
Kwako mi dhahabu
Maana umeniosha mi nawaka Waka
Yaani hata mi nikianguka...... (Bado)
Mkono wangu unanishika .....(Bado)
Kwenya mitego ya Muovu Bwana ...(Bado)
Baba yangu unanivusha .....(Bado)
Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire )
Tarararira raraaaaa (What did I do ..did I do)
Tarararira raraaaaa (Nistahili upendo wako weee)
Ninaringa unanipenda (ah)
Unanilinda (ah)
Wanitunza (ah)
Eeh Bwana wangu (ahh)
Nzambe na ngai (aah)
Shama (ah)
ElShaddai (aah) oohh
Tarararira raraaaaa (JESUS your my desire)
Tarararira raraaaaa (Your Love is on fire)
Tarararira raraaaaa (What did I do .. did I do)
Tarararira raraaaaa (Mpaka umenipenda mimiii)
Ecouter
A Propos de "Love On Fire"
Plus de Lyrics de WALTER CHILAMBO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl