
Paroles de On Top
...
Paroles de On Top Par WALTER CHILAMBO
Kama kungoja nimengoja
Nimengoja mweee nimengoja
Kama kusubiri nimesubiri sana
Mpka sugu nimeota
Nikapigwa mateke chura
Wakasahau wananiongeza hatua
Wakaforce ninywe maji punda
Na mizigo nimewabebea
Ukatangaza mwanzo wangu (ooyyooyoo)
Waliposema ni mwisho (oyoyoo)
Ujuaye uzima wangu (oyooyoo)
Wanaponitabiria kifo
Hawakujua Mungu wangu si kiziwi
Hata asinisikie
Umeandika kesho yangu
Kiganjani mwako na umeniweka mie
On top
On top
Top top top on top
On top aaahhaahh
Wanashangaa mende mmh
Kaangusha kabati mmh
Maisha yamebadilika sana
Naenda na wakati
Vile unavyoniona leo
Sio yule wa jana wa juzi
So now I'm feeling good
Nakafeeling vile na feel Amazing
I am a living testimony
And the grace of God upon me
Mungu amenipa thamani
I was down but now I'm shinning
Ni kweli kabisa sikuwapendeza
Machoni pao
Nikaitwa majina mabaya
Na mipaka nikawekewa
Ukatangaza mwanzo wangu (ooyyooyoo)
Waliposema ni mwisho (oyoyoo)
Ujuaye uzima wangu (oyooyoo)
Wanaponitabiria kifo
Hawakujua Mungu wangu si kiziwi
Hata asinisikie
Umeandika kesho yangu
Kiganjani mwako na umeniweka mie
On top
On top
Top top top on top
On top aaahhaahh
Ecouter
A Propos de "On Top"
Plus de Lyrics de WALTER CHILAMBO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl