Paroles de Mwaka
...
Paroles de Mwaka Par WALTER CHILAMBO
Naumaliza Mwaka hivyo
Na nauanza mwaka huo
Naumaliza Mwaka hivyo
Na nauanza mwaka huo
Jamani mwaka huo
Jamani mwaka huo
Asante Mungu umenilinda
January to December
Umeniepusha na mengi hata sijafa
Kweli Mungu unanipenda
Niliomba kidogo umenipa.. vikubwa
Mi na mizigo yangu yote.. umebeba
Japo wapo walonicheka baba
Wakati naanza plan za maisha wakanikatisha tamaa
Mungu si Selemani
Ona amenipa na mimi
Ukistaajabu ya Musa
Basi utayaona ya Firauni
Walifunga kushoto (walifunga kushoto)
Kafungua kulia (kafungua kulia)
Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)
Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh
Basi piga kelele aaeehh aaeehh
Kama bado una hema we aaeehh aaeehh
Wengi walitamani kuwa kama wewe aaeehh aaeehh
Aaaeeehhh ....aaeehh aaeeehhh
Nimependelewa
kati ya walio hai nimehesabiwa
Na namshukuru Mungu
Kwa yote ..hata kwa yale hajayatenda aaaahhh
Kanipa Nyumba
Kanipa Gari,kanipa kazi
Kanipa ndoa,kanipa watoto
Amenipa amani,ameniheshimisha
Mungu si Selemani
Ona amenipa na mimi
Ukistaajabu ya Musa
Basi utayaona ya Firauni
Walifunga kushoto (walifunga kushoto)
Kafungua kulia (kafungua kulia)
Mungu amenitetea (Mungu amenitetea)
Wamechanganyikiwa (wamechanganyikiwa)
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh
Naumaliza mwaka hivyo oohh
Na nauanza mwaka huo oohh
Basi piga kelele aaeehh aaeehh
Kama bado una hema we aaeehh aaeehh
Wengi walitamani kuwa kama wewe aaeehh aaeehh
Aaaeeehhh ....aaeehh aaeeehhh
Jamani Mwaka huooo..aaeehh aaeehh
Unaisha na unaanza huo..aaeehh aaeehh
Sema Asante we kama mzima..aaeehh aaeehh
Kuna wengine hawapo tena..aaeehh aaeehh
Ecouter
A Propos de "Mwaka"
Plus de Lyrics de WALTER CHILAMBO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl