
Paroles de Malavidavi
...
Paroles de Malavidavi Par JAPHET ZABRON
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
Waliniona sina faida, wewe ukanichagua, ukaifuta aibu dear
Harusi huwa sio kitu kidogo, vijana tuna pambana kuhakikisha ndo tumeifunga dear
Ona mi na we tuko wote leo, twasherehekea wote
Ndugu pla marafiki, ona wapendeza leo
Baraka zetu si ndo hizi leo, na mungu amefanya
Siku yetu iwe na baraka hivi, ina pendeza leo
Ee saa ni malavidavi, ma love love
We ni zawadi maana ni kipenzi toka kwa mungu
Kama ndoa ni halali ya mungu, wangu ni wewe
Moyo wangu umekuchagua kipenzi, tuishi wote
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
Ni wewe daer, wewe tu uliye nimalizaga
Ndio maana nilikutambulishaga
Wote wajue mke na mme tumeshajipata
Na taratibu tumeshazifata
Sasa kipi kimebaki, mungu atulinde
Ndoa ya amani, furaha na upendo
Mungu ameshabariki ndugu pia wazazi
Wote wameridhla, mimi na wewe tuishi wote
Raha ya ndoa sweet ni upendo
Nikikosea mpenzi unisamehe
I’m sorry, i’m sorry zisiishe
Maneno mazuri hutuliza hasira
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
My sweet, sweet
My love and only one
Nakupenda
Basi tufunge pingu, tuweke familia coz nakupenda dear
Ecouter
A Propos de "Malavidavi"
Plus de Lyrics de JAPHET ZABRON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl