
Paroles de Bila Wewe
...
Paroles de Bila Wewe Par JAPHET ZABRON
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingefaa kitu
(Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingefaa kitu)
Bila wewe Yesu, ningekuwa wapi
Bila wewe Yesu, nisingefaa kitu
(Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi)
Moyo wangu wajua ninalo jina moja latofauti na haya mengine
La mtu wangu rafiki yangu ninae jivunia huyu ni Yesu muweza yote
Na moyo wangu wajua fika nguvu uwez wake, tangu nimpe moyo aniongoze
Ndipo aliponipenda nakuniamini huyu Yesu akanitendea
Huenda mi niko hai, niimbe na huyasifu matendo wema wa mungu aliyonitendea
Hivi nilivyo leo, sikuwa hivi mimi, ni huyu mungu wangu ameniwezesha
(Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi)
Bwana ndiwe hupandisha na kushusha
Bwana ndiwe huinua na kubariki
Isingekuwa mkono wako wa wema, nisingelifika hapa mimi
Na tukitabiri, ikawe itakuwa maana tuna we mungu unae tutia nguvu
Nguvu zilizojuu, yamamlaka yote, mradi we upo bwana ushindi tunao tele
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingefaa kitu
(Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi)
Bila wewe Yesu, ningekuwa wapi
Bila wewe Yesu, nisingefaa kitu
(Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi
Bila wewe Yesu, nisingeweza mimi)
Ecouter
A Propos de "Bila Wewe"
Plus de Lyrics de JAPHET ZABRON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl