Paroles de I Am Sorry
...
Paroles de I Am Sorry Par JAPHET ZABRON
I am sorry nilowakosea nikitafuta maisha
Najua mlinivumilia, kwa mungu mi nawaombea
I am sorry sina kingine zaidi naweza kulipa
Najua mlinvumilia, na mungu atawazidishia
Kuna huyu mwingine mimi nilikujaga kwako
Unakumbuka tulikesha tukiomba, ulikesha ukiniombea mimi
Sijasahau wewe uliyetenga muda wako, kipindi kile mi nilipoumwa sana
Ulifika ukanijulia hali
Kuna huyu mwingine mimi unibebeaga shida, tatizo langu ulibeba kam lake
Uko uliko mungu akutunze sana
Tunao wale watu mungu aliotupatia wamekuja kwetu ni kama zawadi
Nawaombea mbarikiwe sana
Na wenye mioyo safi wanaojua kusamehe, kuna muda naweza waudhi sana
Walinipenda bado wakanisamehe
Kuna muda wengine niliwakosea, kwa bahati mbaya tu na ikatokea
Hawakunielewa wakaudhika
Kuna wewe yule niliekukosea, nikasema uongo na ukaudhika
Naomba nisamehe niliteleza
I’m sorry niliwakosea nikitafuta maisha
Najua mlinivumilia, kwa mungu mi nawaombea
I am sorry sina kingine zaidi naweza kulipa
Najua mlinvumilia, na mungu atawazidishia
I’m sorry niliwakosea nikitafuta maisha
Najua mlinivumilia, kwa mungu mi nawaombea
I am sorry sina kingine zaidi naweza kulipa
Najua mlinvumilia, na mungu atawazidishia
Kuna muda mi nakosea ata sijui kama nakosea
Kawaida yetu wanadamu, unisamehe
Unadhani kama si mungu hii dunia tungeiweza
Thamani ya huo upendo usingeiona
Sijawasahau, wachungaji na watu wa mungu
Ahsante kwa kunionyesha njia ya huyu yesu
Mi nilivyo leo, basi ningekuwa wapi mimi
Kama si mkono wake mungu, nisingeliweza
Kuna huyu simu yako sikupokea, ukadhani nishajipata nakuvimbia
Sikuwa na majibu kukueleza
Kuna mambo nilifanya nikiamini, na solve tatizo kumbe ninakosea
Ikanipotezea uaminifu
I’m sorry, i’m sorry, i’m sorry, i’m sorry
I’m sorry niliwakosea nikitafuta maisha
Najua mlinivumilia, kwa mungu mi nawaombea
I am sorry sina kingine zaidi naweza kulipa
Najua mlinvumilia, na mungu atawazidishia
I’m sorry niliwakosea nikitafuta maisha
Najua mlinivumilia, kwa mungu mi nawaombea
I am sorry sina kingine zaidi naweza kulipa
Najua mlinvumilia, na mungu atawazidishia
Ecouter
A Propos de "I Am Sorry"
Plus de Lyrics de JAPHET ZABRON
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl