Paroles de I Miss You
Paroles de I Miss You Par RAYVANNY
(Ayolizer)
SoundBoy!
Hivi bado una hasira, bado unanichukia
Bado unakinyongo
Moyo wako ulishazira, bado unaninunia
Hivi bado una usongo
Kusema bora tuachane
Ndo kauli inaniuma
Kila nikikumbuka 'usitafutane'
Sikujua narusha mawe ndege ukapeperuka
Tusijuane
Nilisema kwa hasira, naona unajuta
Usinitukane
Namba yangu nyengine usijefuta
Sipendi tuchukiane
Naugua kila nikikumbuka zamani
Sisemi turudiane
Najua kwako ni ngumu haiwezekani
Ila I want you to know
I miss you (I miss you baby)
I miss you (Aah...)
I miss you (Nakukumbuka weee)
I miss you (I want you to know)
I miss you (Nakukumbuka wee...)
I miss you (Nakukumbuka baby)
I miss you (Oooh ah iyee)
I miss you (I want you...)
Aah...Aah...Aah...
Alisema selegogo penzi ni kama mmea
Hauchepui mhogo, pale pasipo mbolea
We, vilikushinda vidogo, hata vya kunitetea
Vikaondoka vifijo, nderemo zikapotea
Nia ya moyoni mwangu
Wewe ulijaza miiba
Nikupe pole mwenzangu
Pengo lako limezibwa
We endelea na wafuga kucha
Kina Sidika na Huddah
Kile kiu zile, ooh
Ila tambua kama niliza bucha
Twazidiana ukubwa nyama ile ile
Sipendi tuchukiane
Japo najua, Mungu amenilinda na mengi
Na sisemi turudiane
Ila tambua mimi nilipovunja sijengi
Na niko salama
I miss you (Oooh hey)
I miss you (We niache)
I miss you (I'm doing just fine)
I miss you
I miss you (I don't miss you no no no..)
I miss you (No no no no...)
I miss you (Hey)
I miss you (Aah...)
I'm doing just fine hey
(Wasafi)
Ecouter
A Propos de "I Miss You"
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl