
Paroles de Mapigo
Paroles de Mapigo Par FEROOZ
Mocco !
Bebi tuliza na
Wajue twapendana sana
Acha unishikie waleti
Nikubebee pocketi
Jua la utosi
Kujituma sichoki
Unahitaji malezi yangu
Kama mtoto wangu
Wacha nikutunze
We ndo mtunza siri zangu
Furaha yangu
Machoye wajipange
Eti umeniweka kiganjani (sawaa)
ina wauma nini (sawaa)
Eti nakulaza chini (sawaa)
Ina wauma nini (sawaa)
[CHORUS]
(Oh oooh weee... Sikiliza mapigo
(Oh oooh weee… Oh oooh wee)
Sikilizia mapigo
Sikia moyo unarindima
(Oh oooh weee) Sikiliza mapigo
Mumumumumaaa....
Sikilizia mapigo (Oh oooh weee)
Kwako mi kifaranga
Sitaki kuyabananga sherii
Kwako mimi we mganga
Chambua karanga mamiii
Kuuza siza sijali
Tupambane na hali hali
Vumilia shida raha
Na sali usije kaenda mbali mama
Ukaniacha na majeraha
Nipambe nipambe nipambe
(Nisije hisi mnyonge mnyonge)
Nipambe nipambe nipambe
Nijae niwe kibonge kibonge
Eti umeniweka kiganjani (sawaa)
Ina wauma nini (sawaa)
Eti nakulaza chini (sawaa)
Ina wauma nini (sawaa)
[CHORUS]
(Oh oooh weee... Sikiliza mapigo
(Oh oooh weee… Oh oooh wee)
Sikilizia mapigo
Sikia moyo unarindima
(Oh oooh weee) Sikiliza mapigo
Mumumumumaaa....
Sikilizia mapigo (Oh oooh weee)
Nielewe.....
Ecouter
A Propos de "Mapigo"
Plus de Lyrics de FEROOZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl