Paroles de Yaya
Paroles de Yaya Par RAYVANNY
Olololo
Chuiii
We zombie
Haujui
Bad man
Ni samba la masimba dangote
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Eeh najua na madeni
Na matatizo ya kodi
Ila pesa ya pombe na shisha, sikosi
Najua na vipengelee, watu wanapiga hadi aah
Ila kuhonga mademu wazuri sichoki eeeh
Kama umemchoka tuachie sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Kama umemchoka tuachie sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Sawa nimeachika, ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya , yaya yaya
We zombie
Ongeza tena zikiisha zikiisha
Mwaga tano tano zidisha zidisha
Bebe ikijipitisha pitisha
Usiku mboga naichumisha chumisha
Eeeh wanajita wamjini
Wakati bebe zao tunazila chin chin
Eeh mabisho bling bling
Kazi kulamba lips kitandani no engine, ladis
Samba we want dat thing, long long ting, shoka mpini
Wambie sie mbwa ka wao paka
Wajifunze zungumza kwa mipaka
Demu wako hakufosiwa shanapa
Shobo zake mwenyewe kaitakaa (weweeee)
Kama umemchoka tuachi sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Kama umemchoka tuachie sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Sawa nimeachika, ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya , yaya yaya
Wahuni ndani wanayonga wida
Ukitaka puff pass njoo barida
Ashura, amina njoo Farida
Waambie bwana zenu hatutaki shida
Kama umemchoka tuachi sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Kama umemchoka tuachie sisi
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Show me what you got
Chikiti Chikiti Chikiti Chiki Chikiti Chiki ti
Unachezaje
Chikiti Chikiti Chikiti Chiki Chikiti Chiki ti
Show me what you got
Chikiti Chikiti Chikiti Chiki Chikiti Chiki ti
Unachezaje
Chikiti Chikiti Chikiti Chiki Chikiti Chiki ti
Sawa nimeachika, ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
I am a disco dancer
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya, yaya yaya
Yaya yaya yaya , yaya yaya
Ecouter
A Propos de "Yaya"
Plus de Lyrics de RAYVANNY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl