
Paroles de Dawa
...
Paroles de Dawa Par ETHAN MUZIKI
Out of all the people
Ni we naona tu
My heart is looking for a home
Share your space for a minute or two
Siwezi kuacha hivyo
Niambie boo
Wapi unahitaji support
Nitafanya chini juu
Breathe out so I can breathe you in
Hold you in
Nitajikaza ukiwa na me uko pazuri
Umenipenda na centi zangu
Sumuni zangu haba na haba
Hatuwezi choka tukiwa pamoja
Mpenzi niko willing
Mapenzi ni kuakazana
Wawili kwa wawili
Wewe you are my power aah aah aah aah
Tukiwa wawili yote iko sawa
You make feel kama nimeshinda lotto
Facetime nitajipata kwenye ndoto
All day all night craving your vibe
Texting texting
Can I see you tonight
I just wanna feel your body next to mine
Nikiwa low low
You got me high like I don’t know
Baby umnenishika mkono
Nikiwa solo
Nimekwama kwa penzi lako
Umenitoa kwa soko
Chochote ninachotaka
Nimepata kwako
Mpenzi niko willing
Mapenzi ni kuakazana
Wawili kwa wawili
Wewe you are my power aah aah aah aah
Tukiwa wawili yote iko sawa aah aaah aah aah
Ecouter
A Propos de "Dawa"
Plus de Lyrics de ETHAN MUZIKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl