
Paroles de Mabawa
...
Paroles de Mabawa Par ETHAN MUZIKI
Ukiwahi jiuliza sababu zangu kukupenda
Kalamu kani haitaisha kitabu kani sitajaza
Nimebarikiwa miujiza
Vitu tunaonea sinema
Kama ushaijiuliza
Wacha nijaribu kuzisema
Si urembo tu ama tabasamu
Nio vile unajibeba vile unajiweka
Sijui kama unajua vile unainua
Unanifanya mtu bora
Na unanipa mabawa
Unanipa mabawa
Unafanya nikue sawa
Mapenzi yako ya power
Ni kila kitu
Ni vile wewe huongea kwa utaratibu
Na tukikosana tunatafuta jibu
Na tena unapenda kuona nikishinda unanisherekea
Ndoto zangu unazilinda
Si urembo tu ama tabasamu
Ni vile unajibeba vile unajiweka
Sijui kama unajua vile unainua
Unanifanya mtu bora
Na unanipa mabawa
Unanipa mabawa
Unafanya nikue sawa
Mapenzi yako ya power
Ni kila kitu
We unanipa mabawa
Unafanya niwe sawa
Mapenzi yako ya power ni kila kitu
Wa wa wa wa wa wa wa wa
Mabawa wa wa wa wa
Ecouter
A Propos de "Mabawa"
Plus de Lyrics de ETHAN MUZIKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl