
Paroles de Heri
...
Paroles de Heri Par ETHAN MUZIKI
Unanijua na me najua shida zako
We keep going in circles
Na sioni njia hapo
Kama umechoka
Niambie tuileave
Siogopi kua single
Mbona leo kuchekeshana, kupendana tumechizika
Kesho kwenye kisima futi sita tumejizika
Na kama umepata anaye kupa vitu sina
Si nitaelewa sisi wote watu wazima
Ju rangi rangi ndege mwenye rangi hafichiki
Wengi wengi wengi wnatamana sio mashabiki
Maabusu wa mapenzi
Tunaachana tukirudiana
Nusu nusu mimi siwezi heri niende niwache niende
You know you mean so much to me
Don’t take me for granted
And I will give you everything hata bila asante
I’ll let you in and when you leave
I deal with the damage
I deal with a heart ache
Usiku usiku ukiwa mbali na nikiwa mavitu
Wivu naona wivu
Ukona nani naogopa jibu
Maabusu wa mapenzi
Tunaachana tukirudiana
Nusu nusu mimi siwezi heri niende niache niende
Maabusu wa mapenzi
Tunaachana tukirudiana
Nusu nusu mimi siwezi heri niende niache niende
Na siwezi ni kama siwezi
Ecouter
A Propos de "Heri"
Plus de Lyrics de ETHAN MUZIKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl