
Paroles de Mwanzo
...
Paroles de Mwanzo Par ETHAN MUZIKI
Heri misri sirudi
Safari tumeanza nimesubiri sana
Show me through your love you show me
Maana nakupenda bila hata kusema
Si mara ya kwanza ooh
Umeleta mwangaza
Herana kionge paro bende
Mawazo gi koyo lich ndi
Hauwezi amini ati ni mwanzo
Ni mwanzo tu abebo
Na penzi letu ni mwanzo
Ni mwanzo tu abebo
Na penzi letu ni mwanzo
Ooh ooh ooh ooh
Nani angejua tungefika hapa
Naona raha
From this could be us to power couple
Wengi wapo na wote nawataka
Si mara ya kwanza
Umeleta mwangaza
Herana kionge paro bende
Mawazo gi koyo lich ndi
Hauwezi amini ati ni mwanzo
Ni mwanzo tu abebo
Na penzi letu ni mwanzo
Ni mwanzo tu abebo
Na penzi letu ni mwanzo
Ni mwanzo ni mwanzo
Love how you make me feel
Me ni wako
Nipe nafasi nipe nafasi nikuchekeshe
Usichoke
Ninachojua penzi letu letu sio mwisho
Penzi letu oooh ni mwanzo oooh
Ecouter
A Propos de "Mwanzo"
Plus de Lyrics de ETHAN MUZIKI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl