
Paroles de Oyaah Weeh
...
Paroles de Oyaah Weeh Par BANDO
Oya team no stress sio Simba sio Yanga
Oya we si tushatia team na jersey hazina number
Wanapanga kupangua shida ni Mungu amepanga
Ona sasa mnanyea mkono wa mtu alowafundisha kuchamba
Ah si tumetokea nyumbani uswazi
Ukichelewa kurudi unachezea kichapo
Ukifanya kosa dogo, ukoo mzima unakuwekea kitako
Achana na unga robo wa kupima mboga wa zamanati na msosi wa chabo
So ukiniona niko town sio mtoto wa kishua nimekuja kuhustle
Oyaah weeh everyday tuko happy everyday tuko happy
Na hizi pesa zetu ndogo ndogo ndio zafanya tuwe happy
Ndio zafanya tuwe happy
Oyaa weeh everyday tuko happy everyday tuko happy
Na hizi shida zetu ndogo ndogo ndio zafanya tuwe happy
Ndio zafanya tuwe happy
Oyaah weeh tulikotoka ni mbali
Maana tunajikubali
Wapo waliokazuia safari
Baba God ndio anatupa kibali
Oyaah weeh
Oyaah weeh penye nia pana njia
Oyaah weeh Mungu anatusimamia
Oyaah weeh hatuchoki kujipamabania
Oyaah weeh oyaah
Oyaah weeh oyaah penye nia pana njia
Oyaah weeh Mungu anatusimamia
Oyaah weeh hatuchoki kujipamabania
Oyaah weeh aah
Usijenge chuki maana chuki sio maisha
Bora ungejenga nyumba ukichoka kukaa mwenyewe utapangisha
Kinyago ulichokichonga mwenyewe kuna siku litakutisha
Oyaa heshimu watu bwana pesa haziwezi kukuzika
Kama sio Mungu binadamu atanilisha kipi
Wanashangaa nashinda njaa na bado sifii
Kama haujanileta utanirudisha vipi
Oyaah weeh usinitesti utatikisa kibiriti
Oyaah weeh everyday tuko happy everyday tuko happy
Na hizi pesa zetu ndogo ndogo ndio zafanya tuwe happy
Ndio zafanya tuwe happy
Oyaah weeh everyday tuko happy everyday tuko happy
Na hizi shida zetu ndogo ndogo ndio zafanya tuwe happy
Ndio zafanya tuwe happy
Oyaah weeh tulikotoka ni mbali
Maana tunajikubali
Wapo waliokazuia safari
Baba God ndio anatupa kibali
Oyaah weeh
Oyaah weeh penye nia pana njia
Oyaah weeh Mungu anatusimamia
Oyaah weeh hatuchoki kujipamabania
Oyaah weeh oyaah
Oyaah weeh oyah penye nia pana njia
Oyaah weeh Mungu anatusimamia
Oyaah weeh hatuchoki kujipamabania
Oyaah weeh aah
Ecouter
A Propos de "Oyaah Weeh"
Plus de Lyrics de BANDO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl