Paroles de Home Part 1
Paroles de Home Part 1 Par BANDO
Oooooh Shaitani Boy
Naitali Music
Jay Drummer on the Beat
Bando
Jay Drummer on the Beat
Eeeh Bwana Niridhi Nyota ya Lungu
Atabaki mlinzi Kumtukuza Mungu hakuna Tisheti
Yeye ndiye anayetoa ngojea akupe nyumba
Matatizo hapakosi mahala pa kutokea
Kuzoa maji yaliyomwagika Ila kuzoa Iyo Ni matope
Na hii Sauti Ni Loki imekuja kuosha vyombo vya Muziki
Mapenzi bro Ni firi
Dame akijiona yeye ndio mkali unamwacha ashindane na pilipili
Hii Siri ndio Nakupa Baba
Hali Ngumu my friend
Ndio maana Wafanyakazi wanapagawa
Dame Yako ndio mpangaji mpate
Lipi Si la Wasafi
Ni vyema Kuulizia
Mafuta ya Mia mbili wanauza Shilingi ngapi
Je Wajua Figo Ni pazo la Moyo
So Ukileta Wenge Kali
Tende Nazi Twende Kazi
Uende na wanao Kumbe wasenge kazi
Yesu Ni Bwana Ila sio kila bwana Ni Yesu
Unatania Leo Kama Hujui
Kitana ndio hutumika Sanar kuchania nywele
Mama Aliniambia Usijilaumu Kama
Umewachwa na Gari Bali gari Likapata
Mitaa Inasema Bando hakunanga mitaa
Siwezi kulinganishwa
Lenga Chama Lawama
Wivu kidonda Nakueleza
Hapo masnitch wanaponiona Wanakonda
Jay Drum on the beat
Ecouter
A Propos de "Home Part 1"
Plus de Lyrics de BANDO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl