Mshumaa Paroles

ALIKIBA Tanzanie | Bongo Flava,

Paroles de Mshumaa


Alikiba - Mshumaa lyrics

Ule ugonjwa ulioniacha nao
Bado sijapona 
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote 
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako 
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo...
Nakumiss...

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako 
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo...
Nakumiss...iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

ALIKIBA (16 paroles)

Ali Saleh Kiba, né le 26 Novembre 198,  plus connu sous le nom de AliKiba, est un artiste musicien auteur compositeur tanzanien.

Laisser un commentaire

Par:

10 November 2019 à 2019-11-10

Audio and video sound great though I don’t really understand a thing. I would love to know what the song is all about, How can I get the English translation of the song?