Paroles de Chibaba
...
Paroles de Chibaba Par ALIKIBA
Yeah
Ooh right
Aaah aaah aah aah aah aah
Yeah mama
Mwenye sura ya makokoto
Kumpata ni protocol
Kame jawa na madeko
Aaah kanamadoko
Kwa kuringa kanaringa
Kana mambo ya kitoto toto
Mwinzenu mi ndio napenda
Ugonjwa wangu mi napenda
Kakicheka mi nalia
Jamaa kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi nitachanganyikiwa
Kakicheka minalia
Minalia kananivutia
Mali wangu ikijaliwa
Mi nitachanganyikiwa
Aaaah
Oooh nana nanaaa
Bi mzuri huyu
Nampenda huyu huyu
Oooh nana nanaaa
Mali yake roho safi ooh oh
Oooh nana nanaaa
Bi mzuri huyu
Nampenda huyu huyu
Oooh nana nanaaa
Mali yake roho safi ooh oh
Roho safi ooh
Chibaba chibaba
Mmmhh
Akanza nita chibaba
Chibaba ooh chibaba
Name namwita chimama
Chimama wa mboga saba
Wamoto shape jicho mpaka shingo
Yani dah mashallah
Sitaki tena kua single
Kakicheka mi nalia
Jamaa kananivutia
Mali yangu ikijaliwa
Mi nitachanganyikiwa
Kakicheka minalia
Minalia kananivutia
Mali wangu ikijaliwa
Mi nitachanganyikiwa
Aaaah
Oooh nana nanaaa
Bi mzuri huyu
Nampenda huyu huyu
Oooh nana nanaaa
Mali yake roho safi ooh oh
Oooh nana nanaaa
Bi mzuri huyu
Nampenda huyu huyu
Oooh nana nanaaa
Mali yake roho safi ooh oh
Roho safi ooh
Ecouter
A Propos de "Chibaba"
Plus de Lyrics de ALIKIBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl