Paroles de Nitasema ft Raydiance
...
Paroles de Nitasema ft Raydiance Par NAY WA MITEGO
Na jua moyoni mna ongea
Japo amtoi sauti
Niaba kwa yenu
Mimi ni sipika, mimi ni kipaza sauti
Kuna mficha maradhi
Na kuna mficha uchi
Ila mficha maradhi
Ana umbuliwa na umauti
Mbona kama niko rwanda
Kama niko congo
Mwanangu ana nikumbusha dady
Mbona hii ni bongo
Kwa sasa kutoka nyumbani salama ni uhakika
Ila kurudi nyumbani
Ilo halina uhakika
Watu wana tekwa
Watoto wana potea
Watu pigwa wana risasi
Hakuna anae wa shitakia
Tunaemtegemea kukemea wana sema hizi ni drama
Hivi angetekwa mwanao
Unge thubutu kusema drama
Sokoni majengo ni dodoma
Makao makuu ni ununio
Alipo tekwa roma kumbukumbu ni ununio
Akauliwa ali kibao aka tupwa ununio
Atakae fwata naomba mbadilishe eneo
Wana kukuteka wanakuja kama polisi
Unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi
Unaokotwa umekufua upelelezi upo polisi
Na polisi wanapewa kaz waitafute polisi
Niacheni niongee
Mi ndio sauti ya watu mtetezii wa watu
Sitaki taifa langu lipotee
Maana taifa ni watu
Maisha ni watu
Leo nita sema sema sema
Sito achakitu
Leo nita sema sema sema
Vijana viva tusilale tusilale
Tupambane jahazi lisizame
Tuache uoga kwenye haki tusimame
Hatuna watetezi tujitetee aah
Nyumbani aliondka baba
Kijiti akshika mama
Mama kweli sisi wanao ila jahazi lina zama
Na waza uwanja wa ndenge nawaza mbuga na miradi
Mikubwa ambayo iliyo jengwa na sasa haifanyi kazi
Marehem hasemwi vibaya alikuwa dingi mnazi
Movie ya staring wa chato part two ni kizimkazi
Karibuni tu bet wadogo zangu mnao hitimu
Maisha mtaani yame chachuka kama dagaa alie wekwa
Mapambano usiku mchana, hamna kanuni muhimu
Hakuna urafiki wala undugu
Kati ya mafanikio na elimu
Wahuni wachafua heshima ya jeshi hapa bongo
Kuvaa viatu vya wazazi wa binti wa yombo
Mlitaka afe sativa ila mungu akamponya
Hiki mnacho kipanda muda wake ukifika mtavuna
Yani mnajua mna kosea mnataka mpigiwe mkofi
Na mkikosea tukikosoa mnatutumia polisi
Wana kukuteka wanakuja kama polisi
Unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi
Unaokotwa umekufua upelelezi upo polisi
Na polisi wanapewa kaz waitafute polisi
Niacheni niongee
Mi ndio sauti ya watu mtetezii wa watu
Sitaki taifa langu lipotee
Maana taifa ni watu
Maisha ni watu
Leo nita sema sema sema
Sito achakitu
Leo nita sema sema sema
Vijana viva tusilale tusilale
Tupambane jahazi lisizame
Tuache uoga kwenye haki tusimame
Hatuna watetezi tujitetee aah
Ecouter
A Propos de "Nitasema ft Raydiance"
Plus de Lyrics de NAY WA MITEGO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl