
Paroles de Nyie Ni Nani
...
Paroles de Nyie Ni Nani Par NAY WA MITEGO
Comfortable
Serious
Hahah the street president
Let’s go
Chibby
Me ndo mtoot wa elibariki, aka nay wamitego
Mtetezi mwenye maumivu, ka nimeng olewa gego
Sina chama cha siasa, nawaamsha msiwe wajinga
Me ndo raisi wa kitaa, niliepita bila kupingwa
Nadalin mnangola nife mseme, nimeumaliza mwendo
Na alikua jasri mwanaharakati, na mzalendo
Na sijawahi kukaaa kimya, mambo yanapokwenda kombo
Kisa ninyi nshakamatwa, nishapoteza michongo
Navutana na basata, mmetulia mpo kando
Wadau wananilenga, naonekana kinega
Nyimbo hazipigwa media, nnataka niimbe kibega
Ninyi ni wakina nani
Vipofu (naani)
Viziwi (naani)
Mmekufa (naani)
Mmelafa (naani)
Au nyie ndo bongo lala, sina kadi ya chadema
Ccm nikafanye nini, dada yenu wa marekani
Kawasubirisha ndege stendi, haya mambo ya utekaji
Mmechukua hatua gani, kama sio kazi yenu
Mnadhan ni kazi ya nani, naongea na ninyi
Nyie ni watu gani, mnanitanguliza mbele nikigeuka siwaoni
Ok, tuache hayo mbona, mbona mnasahau haraka
Wakiwaomba mitano, hamuulizi jumia mingap
Hamuulizi mmefanya nini, mliahidi nini
Na namjafanya nini, na kwanini
Nauliza nyie wakina nani
Sijui mpo upande gani
Nyie wa kaki au kijani
Hivi nyie wa dunia gani
Vipofu (naani)
Viziwi (naani)
Mmekufa (naani)
Mmelafa (naani)
Au nyie ndo bongo lala
Kila siku najiuliza nyie mpo kundi gani
Kama ni familia watoto kila mtu anao nyumbami
Ok tufanye sasa
Ukae na mke wako ndani
Mimi na mama nyumbami
Tuone ata sema nani
Daily mnalalamika uchagazi haukua wa haki
Wawakilishi watasema nini wajkati wao ndio wafuasi
Na nyimyi mtafanya nini wakati kusema hamtaki
Kuhusu genz wa kenyan do ni africa nyingine
Tubishane samba na yanga na nguvu za kiume
Wembe ni ule ule halifichiki pempe la ngombe
Watetezi wenu ndo kwanza wanawaita kenge
Oya mwanangu wa kitambo fimbo ya mbali haiu nyoka
Rudi uwama wa vita neni haikombolewi twitter
Shemej naye ni binadamu
Vyakula vya dar vina …
Ila usijali jembe langu wanaume dar wakutafuta aah
Naongea na ninyi
Nyie ni watu gani
Mnanitanguliza mbele nikigeuka siwaoni
Nyinyi mnapenda umpea na viongozi wenu wanajua
Ndomana tukihoji vitu, wanawaletea umbea
Aah na si ndio nyinyi, ambao mlinsaliti mange
Akaacha kuposi siasa, ona sasa
Anaposi udaku ba connection kwenye app
Nauliza nyie wakina nani
Sijui mpo upande gani
Nyie wa kaki au kijani
Hivi nyie wa dunia gani
Vipofu (naani)
Viziwi (naani)
Mmekufa (naani)
Mmelafa (naani)
Ecouter
A Propos de "Nyie Ni Nani"
Plus de Lyrics de NAY WA MITEGO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl