Paroles de Shikilia
Paroles de Shikilia Par NAY WA MITEGO
Mara ya kwanza nakuona, nilishitukaga
Kila ugonjwa napona, nikikuonaga
Kama kikombe cha kahawa, tunapokezanaga
Hata sijali, wakitutukanaga
Yaan kina hanifa na farida wape habali
Kutwa naona vitext vimeseji ho ho ntaua mtu
Natapatapa kama kuku anataka kutaga
Nataka kuku sitaki baga
Mchezo nikiuno ukikikamataga, wanimaliza
Chonde baba nishikeshike shike mapaja
Hii ndio michezo ya kusuguaga gaga
Kisha twende tukaivunjevunje michaga, mi na wewe
Shikilia, shikilia uliposhikilia mama, shikilia
Shika shika, Shika shika, Shika shika, shindilia
Shikilia, uliposhikilia mama, shikilia
Shika shika, Shika shika, Shika shika
Love is beautiful beautiful beautiful
You drive me crazy
Baby you know what to do what to do what to do
I’m going crazy
Watasema umeniroga roga umenishika shoulder shoulder
Hatupandi gari wala boda, ukichoka nitakubeba beba
Ah Mungu ni mwema kafanya tumejuana
Asante mungu mi nawe tunapendana
Shukrani zangu kwa baba yako na mama
Na kwa neema za mungu ipo siku tutaoana
Love is beautiful beautiful beautiful
You drive me crazy
Baby you know what to do what to do what to do
I’m going crazy
Natapatapa kama kuku anataka kutaga
Nataka kuku sitaki baga
Mchezo nikiuno ukikikamataga, wanimaliza
Chonde baba nishikeshike shike mapaja
Hii ndio michezo ya kusuguaga gaga
Kisha twende tukaivunjevunje michaga, mi na wewee
Shikilia, shikilia uliposhikilia mama, shikilia
Shika shika, Shika shika, Shika shika, shindilia
Shikilia, uliposhikilia mama, shikilia
Shika shika, Shika shika, Shika shika
Ecouter
A Propos de "Shikilia "
Plus de Lyrics de NAY WA MITEGO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl