
Paroles de Kheri
...
Paroles de Kheri Par ALIKIBA
Ooyeahh
Mmh
Yeah
Moco
Sina vyakuigiza all eyes on you
All eyes on you
Nakupenda kupitiliza and you know that it’s true
Kukupata miujiza babe you girl
Umenituliza roho (umenituliza)
Aah natamani hii dunia ingekua yako
Moyoni nimekwamishia kaa peke yako
Toka zamani ningejua ningekua wako
Moyoni nimekusisia kaa peke yako
Kheri
Kujuana nawe babe uh
Kheri
Kujuana nawe babe uh
Oh babe babe iih babe
Kanikamata kwenye koo
Ananiliwaza kwa roho
Kwa rohoo
Mahaba shikamooo
Yamenilemeza kwa roho
Roho oooh
She is my darling
She is my darling
She is my darling eeh
Motto mzuri na show show hatari show hatari
Show hatari eeh
Aah natamani hii dunia ingekua yako
Moyoni nimekwamishia kaa peke yako
Toka zamani ningejua ningekua wako
Moyoni nimekusisia kaa peke yako
Kheri
Kujuana nawe babe uh
Kheri
Kujuana nawe babe uh
Oh babe babe iih babe
Kheri
Khe khe khe kheri
Ecouter
A Propos de "Kheri"
Plus de Lyrics de ALIKIBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl