
Paroles de Ubuyu
...
Paroles de Ubuyu Par ALIKIBA
Yeah
Aaaaahh
Mmmh
Ubuyu umenikaba
Napaliwaa aaah
Aah ayo maah
Aah
Yule mama, mwenye nyumba
Yule mama aah waa mamaa
Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama anawaharibi watoto
Yule mama anapenda sana vitoto
Yule mama waa mama aaah
Anafungua kila siku hadharani
Anabana nao vichochoroni
Ana nyumba ila kwake hakai
kila siku anao vichochoroni
Wananmpeleka mpaka chooni
Wananmpeleka mpaka sokoni
Wananmpeleka mpaka chuoni eh
Uyoo uyooo uyooo uyooo
Aaah
Na yule mama Ibraaaahh
Wa Pale chini mpakani eeh
Ndani wana watoto wawili
Si wajamaa ni wa jirani
Wanaongozana mpaka chooni
Wananmpeleka mpaka sokoni
na si kama si hatuoni
Wanapokezana masikami
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
tumeto tongozana jana tu
Eti leo birthday yake
Simu za usiku kununuliana luku
na Hatumi mita namba yake eh
Si aseme kama yuko sokoni
Maana vimacho macho, macho mfukoni
Si aseme yuko sokoni
Tumpeleke moto shimoni
Huyo, huyo, huyoo
Huyo, huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo
Huyo, huyo, huyo, huyo
Ubuyu umenikaba aaah
Leo naumwaga hadharani eh
Watu wanatabia mbaya
Wanamzidi hata shetani
Watu wanatabia mbaya ah
Wanamzidi hata shetani eh mh
Wote motoni
Sijamuona wa peoni
Wote motoni
Sijamuona wa peponi
Si aseme yuko sokoni
Ecouter
A Propos de "Ubuyu"
Plus de Lyrics de ALIKIBA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl