Nasema Lyrics by DULLA MAKABILA


Nimekaa nalo limenishinda mi nasema
Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema
Nimekaa nalo limenishinda mi nasema
Wenzangu napenda mnaniponda mi nasema

We kuna siri zao nazijua
Ila kusemaga ndo sipendi
Mzee wa Bwax alipiga mtungo
Tena watu walikuwa kikundi

Mejja kafumaniwa Rozana 
Mpaka leo meno hana
Msaga amekosa dili la maaana
Sababu hajui kusoma

Manfongo hali yake mbaya
Mpaka sikukuu show hana
Sholo Mwamba hataki meneja
Usela kazidisha sana

Isema na ana nyimbo mbili
Tayari kanenenepeana
Iskibe nadhani mtoto wa mama
Naskia wanagombea bwana

Basi wanangu mi nawasanua
Sababu siri zenyu nazijua
Wanangu mi nawasanua
Nikikaa kimya mnaniona fala

Ooh jamani mi nawasanua
Ah kutwa kucha mnaniongelea
Wanangu mi nawasanua oo
Sababu siri zenyu nazijua

Yaani mengine yanasikitisha 
Na mengine yanachekesha
Yuda msaliti alopandaga ndege
Leo shida zinamzeesha

Vidonda za mio ebu acheni upendeleo
Yudah msaliti alopandaga ndege
Tami mwana uongozi 
Mpaka leo anaishi kwao

Tumemsahau Kapala
Ila ye kwetu ndo Baba
Mc Sudi na Ponela
Yameshakuwa mapaka ya baa

Basi wanangu mi nawasanua
Sababu siri zenyu nazijua
Wanangu mi nawasanua
Nikikaa kimya mnaniona fala

Oooh jamani mi nawasanua
Ah kutwa kucha mnaniongelea
Wanangu mi nawasanua oo
Sababu siri zenyu nazijua

Ah tia tia tia tia tia
(McZo Morfan) Hatari hapoo

We na Dulla huo ukweli huo
Ukweli huo, ukweli huo
Huo ukweli huo...

Mashetani yamepanda dada amevunja kiti
Yamepanda dada amevunja kiti
Kwenye mziki kamwamsha ibilisi
Ah kwenye mziki kamwamsha ibilisi

Unajiita chura, hii wewe chura cheupe
Jiita chura hey dada chura keupe
Kama chura kweli basi ghetto twende wote
Twende wote ukacheze iokote
Mama wote we iokote

Na basi njia kata hata kama sijakutaja hizo
Njia tena hata kama sijakutaja
Njia kata hata kama sijakutaja
Kama chura wa kweli kama vipi sugua gaga
Sugua gaga ikibidi vunja chaga
Sugua gaga, funua paja 

Usikae kiboya mama we tumia wee
Ukiona demu anacheza we bambia wee
Ukiona mama unamuita, unamfuata
Kama bado haujalewa, lewa ita una mjanja

Unamwita unamfuata 
Kama bado haujalewa, lewa ita una mjanja
Usikae kiboya mama we tumia wee
Ukiona demu anacheza we bambia wee

Watch Video

About Nasema

Album : Nasema (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 07 , 2020

More DULLA MAKABILA Lyrics

DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl