Mshenga Lyrics
Mshenga Lyrics by GALATONE
Ewe mshenga nimekuja kwako mimi mnyonge galatix galaholela
Kuna binti nampenda sana bwana uwe kwangu kama umbrella
Nilimwahidi vitu vingi vingi sana kunisikiza ataki
Nilimwambia sina mali zaidi ya upendo nilicho nacho ni samaki
(Ntakupa samaki)
Yani kwanini nishiji vya ngali mahali nayo nisikize nisemacho mshenga
Ananiona mi poyoyo timanu akili nazo apo wapi nikasake wahenga
Purukushani aniamini awezekani (awezekani)
Uenda labda ni, ni majinuni nilisha acha zamani
Shenga, shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nasema kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Kamwambie kwamba mimi bado naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nilimwambiaga zamani sana anae kupenda umjui
Aya mapenzi yalikuwepo zama na zama kuna maziwa na tui
Nilimwambiaga zamani sana anae kupenda umjui
Aya mapenzi yalikuwepo zama na zama kuna maziwa na tui
Ningempa anacho taka angekosa ningekopa ilimradi anikubalie
Moyo wangu umeshachoka amechora makopa mwambie anifikilie
Upendo umeniteka balaa mwambie mi nauguza jelaha
Kama barua Alisha leta mshenga mpaka sasa ata majibu aijazaa
Shenga, shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Shenga kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Nasema kamwambie kwamba naumia roho naumia
(Naumia roho)
Kamwambie kwamba mimi bado naumia roho naumia
(Naumia roho)
Kamuombe anipe (anielewe)
Nafasi nipate (niwe nae)
Tuandamane kote (sema nae)
Na nyuzi nizikate (anhaaa ah)
Kama shamba nimpe (anielewe)
Mikononi nimkumbate (niwe nae)
Kua nae kivyovyote (sema nae)
Waleo na siku zote
Galaholela, holela, holela holela
Watch Video
About Mshenga
More GALATONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl