Baba Lyrics
Baba Lyrics by BELLA KOMBO
Eeeeeeee
Eeeeee
Baba ye oyaa yaa
Nilipotoka Ni mbali
Wala Sitatafakari
Sitakumbuka ya kale kalee
Unafanya Jambo jipya
Ata Sasa linachipuka
Na machozi kunifuta Yahweh
Ooooh baba Oooh
Baba eeeeh Baba oooo
Ukanifunza kukusifu
Mchana na Usiku
Na majeraha yangu Baba ukaitibu
Kama vile Mtoto hutoka kwa mama
Ndivyo Baba unavyonibembeleza
Nasema Asante
Asante Baba kwa kuniwazia Mema
Asante Baba unaniwazia Mema
Shukurani shukurani
Kwa msalaba na damu na maji ukanifanya kuwa mwana
Umeniweka juu ya yote juu ya mwamba
Kwenye Giza Mimi naangaza
Oooooh Baba ooooh
Baba ooooh Baba eeeeee
Mamlaka mbele ya adui zangu
Ushindi mbele ya adui zangu
Eti Kama mboo Ni la jicho lako
Utachota naye anayechota nami
Umenipa kila kitu ata uzima wa milele
Asante Baba kwa kuniwazia Mema
Shukurani shukurani shukurani
You are worthy to be praised
Asante Baba kwa kuniwazia Mema aaeee
Shukurani shukurani shukurani
Watch Video
About Baba
More BELLA KOMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl