Milele Lyrics by BELLA KOMBO

Nataka nikujaribu 
Zaidi ya nguvu zangu
Ninapofika mwisho
Uniongeze nguvu Baba

Nia nikuone
Nia nikupendeze
Mapenzi yako 
Baba yatimizwe

Nia nikuone
Nia nikupendeze
Mapenzi yako 
Baba yatimizwe

Milele, milele
Unadumu hata milele
Ije mvua, ije jua (Haubadiliki)
Unadumu hata milele

Milele, milele
Unadumu hata milele
Ije mvua, ije jua
Unadumu hata milele

Milele, milele
Unadumu hata milele
Bwana wapenda haki
Wachukia ubaya
Unadumu hata milele

Wewe ni kweli
Na kweli ni wewe
Unadumu hata milele
Kando ya misingi ya dunia
Ulikuwa Baba
Unadumu hata milele, milele

Milele, milele
Unadumu hata milele
Ije mvua, ije jua (Haubadiliki)
Unadumu hata milele

Milele, milele
Unadumu hata milele
Ije mvua, ije jua
Unadumu hata milele

Milele, milele
Unadumu hata milele
Bwana wapenda haki
Wachukia ubaya
Unadumu hata milele

Tazama Bwana ametangaza
Habari mwisho wa dunia
Mwambieni Sayuni
Tazama wokovu wako, unakujilia
Wokuvu wako unakujilia

Milele, milele, milele
Wadumu bwana, wadumu Bwana hata milele
Milele, milele, milele
Wadumu bwana, wadumu Bwana hata milele

Milele, milele, milele
Wadumu bwana, wadumu Bwana hata milele
Milele, milele, milele
Wadumu bwana, wadumu Bwana hata milele

Music Video
About this Song
Album : Milele ,
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By: Huntyr Kelx
Published: Apr 29 , 2020
More Lyrics By BELLA KOMBO
Comments ( 0 )
No Comment yet