Mshenga Lyrics
Mshenga Lyrics by MSAMI
Alu, tekenya, we tekenya
Aya tekenya, we tekenya
Umetoka kila manga
Ka tumejipatia manga
Alu, tekenya, we tekenya
Aya tekenya, we tekenya
Uswahilini hali mbaya
Pesa zangu za ngama
Hakunaga rada
Mshenga anakutuma
Ka-shapu yaani ka Wema Sepetu
Kifu fuani, Hamisa Mobetto
Namuona mrembo huyo
Anavyotamba huyo
Jamani mrembo huyo
Anavyotamba huyo
Katikati ya bahari
Nimezama mi sioni
Penzi langu tafadhali
Usilitupe masikini
Mshenga kamwambie, mi nampenda
Aii mama, weka tena
Alu, tekenya, we tekenya
Aya tekenya, we tekenya
Wahenga ooh, walishasema
Ndege wafananao huruka pamoja
Kumpata, safi, kumkosa, sitaki
Kumpata, safi, kumkosa, sitaki
We ng'ondoe (Rayvanny mwenye ngoma)
We ng'ondoe (Rayvanny mwenye ngoma)
Tena kamwambie, mi nampenda
Usiku silali namwaza yeye
Mshenga kamwambie, mi nampenda
Woi woi woo, woi woi woo
Alu, tekenya, we tekenya
Aya tekenya, we tekenya
(We flenkeny, we we)
Oooh, oooh, yee yee
Musa -- ataiba jiko langu
We Nelly Zemodo mwanangu wa ukweli
Naogopa kuchelewa nitakuta mwali si wangu
(Wanamuita Dasko)
Shevinyale roho mbaya ataiba jiko langu
Morogoro mazimu top 3 niggas
Naogopa kuchelewa nitakuta mwali si wangu
Kumpata, safi, kumkosa, sitaki
Kumpata, safi, kumkosa, sitaki
(Wanangu wa Lebanon)
Wapi watoto wa remix
Tena kamwambie, mi nampenda
Mshenga kamwambie, mi nampenda
Watch Video
About Mshenga
More MSAMI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl