BARNABA Magufuli Master cover image

Magufuli Master Lyrics

Magufuli Master Lyrics by BARNABA


Tuliye naye hana kasoro
Ya nini tupashe viporo
Tutawashinda totoro
Na mtakula chochoro

CCM kiberiti, master
Magu jembe siwezi kumsaliti (Magufuli Master)
Ye Sabuni ni ye jiki (Master)
Ni ye jiki (Master), ni ye jiki (Master)

CCM naipenda hivyo
Labda mnitoe roho
Wapinzani kushinda ni ndoto
Porojo zenu sitaki nisikie

Na tumeandika maandiko
Kukihama chama ni mwiko
Kunyweni sumu mjichimbie shimo
Tunashinda tena kwa kishindo

Magufuli anashinda goli tatu
Kama mpira wa kona
Nyie sera hamna 
Mambo yote ametekeleza

Standard gauge, bara bara zaji
Kina baba kina mama
Umeme no kukatika
Maji kutwa yanatiririka hivyo

Tuliye naye hana kasoro
Ya nini tupashe viporo
Tutawashinda totoro
Na mtakula chochoro

CCM kiberiti, master
Magu jembe siwezi kumsaliti (Magufuli Master)
Ye Sabuni ni ye jiki (Master)
Ni ye jiki (Master), ni ye jiki (Master)

CCM kiberiti, master
Magu jembe siwezi kumsaliti (Magufuli Master)
Ye Sabuni ni ye jiki (Master)
Ni ye jiki (Master), ni ye jiki (Master)

Magufuli washa, CCM washa

Asiyekubali kushindwa
Si mshindani kabisa
Magufuli kabeba taifa
Wapinzani kazi bure mnajisumbua

Roho mnazisononesha
Magufuli hatumii nguvu kabisa
Wananchi kawaaminisha
CCM kwa kishindo tutashinda

Si mkubwa wala mdogo
Hatutalala mpaka majogoo
Tutasubiri ishinde
Na JPM ishinde

Magufuli anashinda goli tatu
Kama mpira wa kona
Nyie sera hamna 
Mambo yote ametekeleza

Standard gauge, bara bara zaji
Kina baba kina mama
Umeme no kukatika
Maji kutwa yanatiririka hivyo

Tuliye naye hana kasoro
Ya nini tupashe viporo
Tutawashinda totoro
Na mtakula chochoro

CCM kiberiti, master
Magu jembe siwezi kumsaliti (Magufuli Master)
Ye Sabuni ni ye jiki (Master)
Ni ye jiki (Master), ni ye jiki (Master)

CCM kiberiti, master
Magu jembe siwezi kumsaliti (Magufuli Master)
Ye Sabuni ni ye jiki (Master)
Ni ye jiki (Master), ni ye jiki (Master)

Yetu kijani (Yapendeza)
Hata njano pia (Yapendeza)
Rais Magufuli (Apendeza)
Apendeza, apendeza

Mama Samia Suluhu (Anapendeza)
Kassim Majaliwa (Anapendeza)
Dr Magufuli (Apendeza)
Apendeza, apendeza

CCM na wabunge wake (Yapendeza)
CCM na mawaziri wake (Yapendeza)
Dr Magufuli (Apendeza)
Apendeza, apendeza

Mama Samia pia (Anapendeza)
Kassim Majaliwa (Anapendeza)
Dr Magufuli (Apendeza)
Apendeza, apendeza

CCM nambari one
Dr John Pombe Magufuli nambari one
Wapinzani wamelala doro
Waambieni kanzu sio dera 

(Abbah)

Watch Video

About Magufuli Master

Album : Magufuli Master (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 12 , 2020

More BARNABA Lyrics

BARNABA
BARNABA
BARNABA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl