Sukari Guru Lyrics

NURDIZZO Feat BEKA FLAVOUR Tanzanie | Bongo Flava,

Sukari Guru Lyrics


Basi beiby ngoja nikueleze sasa eeh
Jinsi kamoyo kanavyokwenda puta
Ukitoka nyumbani, kamoyo kanadunda
Ukileta utani, kamwili kanazinda

Na nishakula yamini
Mambo yote hadharani
Na usiweke foleni 
Utajishusha dhamani wewe

Usijali na tena wakikuita mcharuko
Kikubwa heshima punguzaga vituko

Yaani wabaya bado, wanaongea bado 
Yaani wabaya bado, wanatania bado
Yaani wabaya bado, wanaongea bado 
Yaani wabaya bado, wanatania bado

Nimekwama(Yelele) 
Kwako nimekwama(Yelele yelele)
Nishazama(Yelele) 
Beiby nishazama(Yelele yelele)

Nimekwama(Yelele) 
Kwako nimekwama(Yelele yelele)
Nishazama(Yelele) 
Beiby nishazama(Yelele yelele)

Wenye chuki na fitina mama
Wapo wengi beiby
Wasopenda kutuonaga
Tunapendana hata kwenye shida

Ndo maana nikikosa
Cha kwanza nakuombaga msamaha
Sitaki kukukosa
Kwa moyo wangu wewe ndo air

Yaani kama nimeokota dodo
Beiby mwenye sura nzuri 
Halafu wa raha hanaga mikogo
Hakijuagi kiburi

Hatakitamani hana sifa za gogo
Anazungusha kama feni
Mi kwako nimekuwa mdogo
Nafanana na piritoni

Bado bado watasubiri sana
Bado bado hatuwezi kuachana
Bado bado watasubiri sana
Bado watafute kazi ya kufanya

Sukari guru
Beiby wewe sukari guru
Utamu wako nakufuru 
Yaani aaah, mpaka ikulu

Sukari guru
Beiby wewe sukari guru
Utamu wako nakufuru 
Yaani aaah, mpaka ikulu

Nimekwama(Yelele) 
Kwako nimekwama(Yelele yelele)
Nishazama(Yelele) 
Beiby nishazama(Yelele yelele)

Nimekwama(Yelele) 
Kwako nimekwama(Yelele yelele)
Nishazama(Yelele) 
Beiby nishazama(Yelele yelele)

Kutoka siwezi no

Sukari guru
Beiby wewe sukari guru
Utamu wako nakufuru 
Yaani aaah, mpaka ikulu

Leave a Comment