DULLA MAKABILA Naacha Mziki  cover image

Naacha Mziki Lyrics

Naacha Mziki Lyrics by DULLA MAKABILA


Makabila nakuja kushtuka chipu sio mwanangu tena
Yani sipo mbali nae ila ukaribu hatuna
Kwa mama dangote nikaibuka dukani kwa dada esma
Uncle shamte akasema ataongea nae kisha tutajulishana
Issa azam akasema ooh, usihuzunike yatakwisha
Choby na santos wakiniona wananipita
Dareen na zuchu nao ndo kabisa wamenichosha
Wameniun follow insta hawaoni ata picha
Huu wimbo unaweza fanya nkatukanwa sana
Na unaweza fanya chibu arudishe moyo nyuma
Wimbo utafanya munione nashoboka
Na nna uhakika magizzo atakasilikaa

Me naacha mziki
Familia yangu ishanikataa
Sitoi nyimbo kipindi hiki
Mpaka mimi na wasafi yatapokwisha
Dinnuh narumba naacha mziki
Jamani ndugu zangu washanikataa
Sitoi nyimbo kipindi hiki
Mpaka mimi na wasafi yatapokwisha

We nikapiga moyo konde nikamfata tale
Akasema kwanza nenda kaongee ne fella kirungulee
Mimi na mendez damu zimemach toka kipindi kilee
Apo polepole ila anaupiga kama pelee
Don fumbwe sijataka kumsumbua mana atakuwa busy juju amejifungua
Mbosso baba levo cm hawajapokea
Isa vipenzi vya bosi ndo wananivimbia
Rj vanny siwalaumu
Mana tunachatigi na wanapokea simu
Lava lava na iyobo me nao damdam
Maana wanapigaga simu nawapa madem
Kweli neecha mziki mashabiki msishtukee
Mpaka nelly na jamar vinyongo viishee
We kwa kipi nichofanyaga mpaka simu wasishike
Ata kama tumerogwa momo piga dua nasibu azinduke
Huu wimbo unaweza fanya nkatukanwa sana
Na unaweza fanya chibu arudishe moyo nyuma
Wimbo utafanya munione nashoboka
Na nna uhakika majizzo atakasilikaa

Me naacha mziki
Familia yangu ishanikataa
Sitoi nyimbo kipindi hiki
Mpaka mimi na wasafi yatapokwisha
K man narumba naacha mziki
Jamani ndugu zangu washanikataa
Sitoi nyimbo kipindi hiki
Mpaka mimi na wasafi yatapokwisha
Juma lokole naacha mziki
Aristote naacha mziki
We dullvan naacha mziki
We mkojani naacha mziki
We mackzube naacha mziki
We mz peace naacha mziki
Ally kiteja naacha mziki
Amina vikoba naacha mziki

Watch Video

About Naacha Mziki

Album : Naacha Mziki (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jun 18 , 2022

More DULLA MAKABILA Lyrics

DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA
DULLA MAKABILA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl