Uhakika Lyrics
Uhakika Lyrics by B2K MNYAMA
Sijakosea, hii ndio picha yako
Navuta taswira insta post zakogo
Unakumbuka Jenny text zako
Ulivyonijoboaga
Unanitext ukiwa na shida zako
Ambao unaombaga haya
Halafu unaona simple tu
Umegundua sijafika huko, unanionea
Bora niwe muwazi
Naonaga majibu yako
Yanakatisha tamaa
Najaribu kufikisha
Ukweli wa dhamira yangu
Unabullshit mamaa
Halafu unadai
Vile vitu ambavyo sina
Mie kupata natamani
Eti nikupe wewe
Wazazi wanateseka
Walonileta duniani
Bora niwe mshamba wa mapenzi
Niwafurahishe wazazi nyumbani
Nitaishi kwa namba ila tambua we na mi
Urafiki wetu wa ukubwani
Mwenzako nimefikaa
Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni
Nataka uhakika
Umenisajili kwa show time au ndo siku zote
Mwenzako nimefikaa
Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni
Nataka uhakika
Umenisajili kwa show time au ndo siku zote wewe
Najua maisha yako yana furaha tupu
Najua kosa lako huombi msamaha
Naona siku zote we uko bored
Au maisha yako hayataki furaha
Kama kuna njia, ya kukufanya
Wewe unipende sana
Ilaa una nia, ya kunifanya
Mimi niwe mnyonge
Si nasikia mapenzi ya selo leo
Lakini ni mateseo niumie
Wala hii skendo ya kuitwa mama lio
Atanielewa na kesho nitulie
Bora niwe mshamba wa mapenzi
Niwafurahishe wazazi nyumbani
Nitaishi kwa namba ila tambua we na mi
Urafiki wetu wa ukubwani
Mwenzako nimefikaa
Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni
Nataka uhakika
Umenisajili kwa show time au ndo siku zote
Mwenzako nimefikaa
Umenipokea unanipa na kazi malipo siyaoni
Nataka uhakika
Umenisajili kwa show time au ndo siku zote wewe
Watch Video
About Uhakika
More B2K MNYAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl