B2K MNYAMA Tumekubaliana cover image

Tumekubaliana Lyrics

Tumekubaliana Lyrics by B2K MNYAMA


Starbeat boy

Unakumbuka mwanzo ulidanganya jina
Ukaniona muongo sieleweki
Na kumbe mi ndo chanzo cha kukupa heshima
Leo unaitwa mama hapo vipi
Sa nikudanganye vipi mpole mwenye uko ka cute
Basi mi kama shabiki napenda kukuona tu
Varandani kwenye kiti mda wowote unaichapa mechi
Kwa kifupi uko fit acha tuenjoy tu
Sikuizi yaani namegeshwa tongue mie nalishwa
Yaani mambo pambe hata kuku cheat baby
Nitaannzia wapi mi hadi naogopa
Uko mtaani wacha waone donge
Mi sikugusi hata nilewe pombe
Hata kukupiga baby nitaanzia wapi
Mi hadi naogopa

Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama

Mmmh mmmh
Lody music on this one
Mmmh mmmh
Naona makopa kopa yanavoleta hisia
Kukucheat haiwezekani
Unaipatia sana
Hadi naogopa ogopa wenye mali zao
Dear sitaki kukutuma hata dukani
Unanipatia sana
Hunaga hata kipele sioni kasoro mlaini
Tukila ugali na kandolo kwako fine nakosa leo
Ila tomorrow unanisamehe
Mi na we milele your ma baby joro your mine
Hatupashagi mavipolo baby wine mapenzi yananizidia mwenzenu
Aah ni wewe unaenifanya nisikie raha unaniliwaza sana
Hadi naogopa kuchepuka
Aki ni wewe utaenifanya nikashinde bar utapo niacha mama
Nahisi akili itacharuka oh oh oh

Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama
Tumekubaliana tunapendana
Hatuwezi achana mpaka kiama

Watch Video

About Tumekubaliana

Album : Tumekubaliana (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Sep 15 , 2022

More B2K MNYAMA Lyrics

B2K MNYAMA
B2K MNYAMA
B2K MNYAMA
B2K MNYAMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl