Nairobi Lyrics
...
Nairobi Lyrics by MARIOO
Uuu eeh
Kutoka alooh
Mmmh
It’s kaniba
Nilikutana nae kilimani, nairobi
Elfu mbili na kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi
Kijua faulani sio kikali saa tano
Ooh nairobi
Elfu mbili na kumi na tano
Nikamchagua yeye
Kati kati ya wenzake watano aah
Nikamuomba kaniomba, namba
Moyoni mwangu nikampa moja
She is my number number moja
Nikamuomba kaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
Now she is my namba namba moja
Yaani namaanisha kwamba, ndio tushoana
Tushoana, ndio tushoana
Ndio tushoana
Tulipatana bongo mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Alinipita kama meli
Anayumba yumba akidondosa kishenzi
Ohhh mikocheni
Nikamfata utadhani zombie
Habari gani mbona uko lonely
Jina ni gani, akasema zari
Nikamwambia ajee, ajee
Nikamwambia kwangu me kwake
Nimshike wapi ndio aje
Nataka moyo wangu uwe wake
Watangoja sana
Wakidhani tutaachana
Mimi nay eye tumeshaivana
Naichapa usiku na mchana
Aiya iyaah iyaah
Yaani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
Tushaoana na yeye
Sa me nipo nay eye tushaoana
Tushaoana na yeye
Sa me nipo nay eye ndio tushaoana
Tushaoana tushaoana tushaoana
Ndio tushaoana
Tushaoana tushaoana tushaoana
Ooh yeah
Tushaoana ooh
Alooh
Watch Video
About Nairobi
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl